We are a tech startup focused on repairing computers, smartphones and selling electronic devices. We also provide tips on maintaining electronic devices.
KARIBU KATIKA PAGE AMBAYO UTAWEZA KUJIFUNZA MAMBO MBALIMBALI KUHUSIANA NA TEKNOLOJIA NA NAMNA YA KUTUNZA PAMOJA NA MAREKEBISHO YA VIFAA MBALIMBALI YA KIELEKTRONIKI(computer,smartphones,game consoles n.k)
GIVEAWAY!โฆ Like this tweet and follow @insta360 & @UnboxTherapy for a chance to win an Insta360 Flow Pro and an iPhone 15 Pro.
The winner will be announced next week...good luck!
APPLE AIRTAG TRACKIG DEVICE
Airtag ni device ambayo imekuwa designed na kampuni ya apple ilikuwezesha watumiaji kuweza kufahamu uwepo wa vitu au mali zao endapo zimepotea au kusahaulika,kifaa hichi kilizinduliwa rasmi mnamo 30/03/2021 lakini preorder zilianza kufanyika 23/03/2021
@Dom_equinox@elia_sylivester@nickyrabit Unakuwa na sister company nyingine kwa ajili ya ecomerce na subdivision ya parent company itakayo husika na local deliveries ili kuhakikisha the whole chain from the industry mpaka kwa mteja unaiendesha kugurantee efficiency na proficiency.