Punde nimezungumza na Mhe. Kenyatta kuhusu shambulizi la Jijini Nairobi,zaidi ya watu 14 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa.Pole sana Mhe. Rais na pole sana wananchi wa Kenya.Tupo nanyi katika kipindi hiki cha majonzi. Nawaombea Marehemu wote walale mahali pema peponi, Amina.

Huu ni ushindi wetu sote! Nawapongeza na kuwashukuru wachezaji, benchi la ufundi, viongozi, wanachama, mashabiki, na wapenzi wote wa SIMBA! 🙏🏽 Safari ndio kwanza inaanza. Tuendeleze mshikamano wetu ili tufikie lengo letu la kuwa mabingwa wa Afrika, Insha’Allah #NguvuMoja
@tifah_dior Washapelekewa. That’s the essence of going physically. You interact, discuss the challenges and intervene when needed.
But most importantly we are proud shule iliyokuwa ya makuti now inajengwa madarasa mapya na ofisi za walimu na kusimamiwa na kamati za shule wana-jamii wenyewe!