@RevocatusMagum1 huyo hastahili hata kulipwa milioni kumi kwa mwezi,kwa kweli huwa namuona kama mzigo tu kwa wachezaji wenzake,uwanjani,wasichelewe kumpa thank you..
@azamtvtz MWL.MAULID MANYAMA WA TARIME.Maeneo yote yanaleta uhondo,japo radha kamili ipo kwa aliye kileleni jinsi anavyopata hofu akitazama anayemfukuzia chini yake,yaani ni ile anguka nipande mimi,,
@azamtvtz MWL.MAULID MANYAMA WA TARIME.kocha apange kikosi kitakachocheza kwa tahadhali kubwa,asipaki basi,kwani itamgharimu,awe na mashambulizi shtukizi,afanye sub kwa wakati.kwa mipango hiyo,kaburu hachomoki..kila la heri chama langu.
@azamtvtz MWL.MAULID MANYAMA WA TARIME,Nafasi bado ipo sana kama watafanyia kazi changamoto zilizoonekana jana na kupelekea kupata ushindi mdogo.Lakini naiona bendera ya Tanzania ikipepea huko Afrika kusini na simba akitinga fainali...
@Haloteltz Kwa wale wapenda tamthilia,naomba mfuatilie peji yangu msome kisa juu ya maisha,ikiwa ni tungo niliyoiandaa kwa muda mrefu na sasa iko tayari.Nakuhakikishia hutojutia kusoma simulizi zangu🙏
@Haloteltz Habari,jana nimenunua bando la intaneti la wiki kwa sh.3000/mpaka sasa intaneti haifunguki na naletewa sms kuwa sina kifurushi cha data,na pesa yangu mmekata,namba yangu ni 0622515823,usumbufu sana
@Haloteltz utaratibu mlioanzisha wa mtu akiweka vocha ya 1000 au 2000 akitaka kununua vocha ya hela hiyo mnasema salio lako halitoshi,ni wizi kama wizi mwingine
@Haloteltz Huu utaratibu wa mtu ukiweka vocha ya mf. 1000/unataka kifurushi cha hela hiyo mnajibu kuwa salio lako halitoshi,mna maana gani?au nanyi mmeanza utaratibu wa kutaka kuibia wateja wenu kwa njia hiyo?