Niliwai mwambia mwanangu mmoja tofauti ya makuzi yetu sisi wa 90's na hawa mnaowahita wa 2000's ni hizi social medias na utandawazi sisi pia tulikuwa kwenye hatar kubwa ila wao hali yao ni mbaya sana kukilinda kizazi cha 2000's n kazi mnoo anyways Mungu awaongoze tu.
Whoever makes jokes kwa huyu binti wa pastor atakuwa anakosea sana. Kwanza ajue nayeye ana binti home, au atakuja kuwa na mtoto wa kike!!
Kwa kumtazama anaonekana ni binti mdogo sana, i guess under 20, means kama una 40 ni binti yako kabisa wa kumzaa!!
Kama una 30 ni mdogo wako wa mwisho kabisa!!
Lakini pia tuna mabinti zetu/watoto wetu kwenye familia zetu na wanakua!!
Maisha yetu haya huwezi kuwa naye binti yako masaa 24, hutaweza kumchunga siku zote, kwenye hangaika zake atakutana na
wenzake na wanaweza fanya kubwa zaidi la huyu binti wa pastor!!
Anaweza akalala na boyfriend wake na akamrekodi akarusha social media….
Mabinti kwenye hii adolescent age wana changamoto sana, atatokea muhuni tu atamlaghai atafanya naye the same hata kama binti yuko smart!!
Utajisikiaje jamii iki-entertain hiyo content!
#NB Tujenge utamaduni wa ku-ignore vitu kama hivi, kukemea na kuto-entertain hasa inapotokea kwa watoto wadogo!!
@patooworldwide@BobDon530498@EricMaswi Tofautisha kuhustle na kuwa signed kwenye label flani then ukae miaka minne wanakutrain huo ni uongo mzee unaichukuliaje miaka minne wewe 😅