Mwangaza Wa Siku.⛅
Nao watakaa humo salama; naam, watajenga nyumba, na kupanda mashamba ya mizabibu, na kukaa salama; nitakapokuwa nimetekeleza hukumu zangu juu ya watu wote, wanaowatenda mambo ya jeuri pande zote; nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wao.
"EZEK 28:26"
Kisha Mwenyezi-Mungu akatuambia sisi sote, ‘Hao watoto wenu mnaoogopa kwamba watakuwa nyara za adui zenu, naam hao walio wadogo ambao hawajui bado kupambanua kati ya mema na mabaya, hao ndio watakaoingia huko, nami nitawapa wao nchi hiyo iwe yao. (Kumbu 1:39|BHN
"Angalieni msikialo; kipimo kile mpimacho ndicho mtakachopimiwa, na tena mtazidishiwa. Kwa maana mwenye kitu atapewa, naye asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang’anywa."
(Mk. 4:21-25)
Kumcha Mungu kunatufanya tujuwe thamani halisi ya maisha yetu kunatupa sababu ya kuishi na ujasiri wa kukabiliana na kila jambo tunalokutana nalo ktk hii dunia bila woga Tumche Mungu ndugu zangu Na iwe J2 njema kwetu sote NAWAPENDA WOTE ❤️❤️❤️
story time:
Kuna daktari mmoja alikuwa anasoma SUA(Vet), jina lake ni Frank. Kwa mujibu wa wanawake waliomuona live au kwenye picha wanasema ni bonge la handsome. mimi kwangu alikuwa ni mshikaji sana, mcheshi na mtoa support kwa wana.
Frank alikulia mazingira ya kishua flani.
Napenda sana kuwashukuru nyote mliokuwa nami katika Account hii kwa muda. Mungu ni mwema AC yangu imerudi. Turudi sasa nyumbani tuendeleze gurudumu @Kamigakikumbise
🙏🏾🙏🏾🤝🏾🤝🏾🤝🏾
Habari, Account yangu ya @Kamigakikumbise imekuwa Temporary Restricted. Sasa hivi natumia hii kwa muda hadi mambo yatakapotengamaa.
Tafadhali nifollow.
@Eric_Bernard94 @gracemella95