@iamcleopatricia ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ.. hivi nyie kenge mlisha jiuliza Mbali na Kyuma.. kipi Kingine Mnacho weza Kutupatia???
Nyie mna Demand mambo Milioni.. kwa K tu kweli.. hebu kuweni Fair basi.
Mbna mnazidisha usenge sana jmn .
POLEPOLE AMECHAFUKWA, ๐๐๐๐
Anakwambia, Unaendaje kwenye uchaguzi na CHAUMA ambao ni mpango wa kando na sote tunajua au na ACT ambayo ni CCM-B, chama kilichoanzishwa na ZITTO kwa ufadhili wa KIKWETE ๐๐๐
Yani BASHUNGWA anapongeza jeshi la Polisi kumkamata MTU WAO.๐๐ซต๐พ
Sisi sio MAFALA.
Huyu ni mtu wenu, na alichofanya kwa Fr KITIMA ni maagizo yenu. Hizo PONGEZI zenu ni sawa na KUJIPIGA NYETO na mlenda wa MOTO.
Hapa kinachotakiwa ni WALIOMDHURU FATHER, msitake kujiliwaza na huyu mbuzi wenu wa kafara.
Sisi sio MAFALA mnadili na TAIFA la tekinolojia hatupo zama za MAWE. Play SMART BASHUNGWA.
Na ututolee USENGE WAKO HAPA.๐ฎ
#NoReformsNoElection
#TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
Mtoto wa Rais wa Marekani Donald Trump, Baron Trump amemuomba sana baba yake asisitishe misaada kwa nchi za Kiafrika kwa kuwa kuna watu wengi watakufa.
Mshua anasema hawaamini viongozi wa Afrika kwa kuwa misaada hiyo inakwenda kufanya mambo mengine ambayo hawakukubaliana.
Dogo anamwambia basi kama inawezekana misaada hiyo ipitishwe moja kwa moja kwa wahusika na isipitie kwa viongozi kwa sababu wengi ni wala rushwa. Yaani anamaanisha kile wanachokitaka wananchi wa Afrika, Marekani ije kukifanya moja kwa moja ila si kuwakabidhi pesa.
Dogo anaendelea kusema kwamba wananchi wasio na hatia barani Afrika hawatakiwi kupitia msoto kisa tu ya viongozi ambao ni wala rushwa na wenye tamaa. Na kama inawezekana, hao viongozi waadabishwe.
Hii imekaaje Waafrika wenzangu?
Nyie viumbe!! ๐ง๐ปโโ, Mnatupa wakati Mgumu Sana.. Iv hasa Mnataka Mcha Mungu? Ama Mwenye pesa?
Mnajifanya Ooh.. nataka muaminif.. Ukimpata Muaminif kwako na Kwa Mungu.. bado Unaonesha kuwa Mahitaj Yako Ni Pesa na sio Tena Mcha Mungu..
Mnafanya Ndoa zikose maana sababu Vigezo
Umewahi kuwa mbunge Martin?
Jambo usilolijua ni usiku wa kiza ila mnapotosha jamii mno.
Wabunge wangekuwa wanapata maslahi makubwa huyo lissu angeomba achangiwe kununua usafiri?
Prof J angeanza kuchangiwa matibabu?
Ofisi ya Spika ndiyo ina hayo majibu sio hao wabunge walioshindwa