@cleansheet_1 Kwamba uto walimtoa Morogoro? Tufatilieni mpira jmn kuepuka aibu ndogo ndogo kama hizi.
Ila nisikulaumu yawezekana Kipindi kibabage anacheza uarabu ulikuwa mtoto au ulikuwa bado kijijini Tv Hamna
@Elsukay0 Sio rahisi.
Juzi mechi ya simba na Singida Alipochezewa faulo Kante Priva ambaye ni Mtumishi wa Yanga aliandika makala ya kuponda watu kulalamikia faulo unadhan, kwahyo na wao wanaona ni tukio la kawaida tu