Ni wakati mwingine tena wa mimi na wewe kuzungumza kuhusu swala zima la uzazi wa mpango.
Uzazi wa mpango una mambo mengi sana, ungana nami kila wiki tujifunze pamoja.
Ila kwa kuanza tafadhali naomba jaza dodoso katika kiambatanishi hiki.
https://t.co/2fsN6pli5k
#uzaziwampango