@VodacomTanzania Hivi ndg zangu mnaotumia mtandao wa vodavom hivi na nyie inawasumbua kama mimi ,mawasiliano ni hafifu kabisa yani mtandao unasumbua sana .unampigia mtu mara inakata mara hamuelewani sijui ni kwangu tu
@kabigwa_78 Dr. Mimi nilikuwa na stress sana za kifamilia ,gafla mguu wa kushoto umeanza kufa ganzi , lakini pia hadi nyama ya paja inauma kuna wakati nikikanyaga nasikia maumivu hadi kwenye nyonga ,sijui tatizo ni nini
@Mkunga_Og Doctor mimi bhana nikikojoa mkojo wa mwisho unauma sana arafu mkojo wa mwisho unatoka kama mbegu za kiume ,tatizo ni nini ? Je nifanye nini ili nipone ?
@Mkunga_Og Mkuu kwa sisi wanaume tunaofanya tendo kwa sekunde tu chali yani ukipiga pampu mara nne tu WAZUNGU wanatoka baada ya hapo chali .tutumie rishe gani ili tuwe sawa ? Maana kujichukua ndio tatizo la yote haya