@TillahBlessed Baada ya kusoma comments nimepata majibu mawili, kwanza watu wanakurupuka sana kujibu bila ya kuelewa maswali, pili, hakika dini tumemezeshwa tu. Hakuna aliyetoa jibu, wote wanarudi kuelezea sababu za kila siku za kuupinga ukristp bila ya kujibu swali kuu la hapa.
@BontaKiraka @M56765Michael @Sativa255 Atashinda zaidi ya hiyo, hiyo 377 ni anatamanishwa achukue kabla ya mechi kuisha. Ikiisha inakua kubwa. Kumbuka ni pesa aliyopata ndani ya masaa mawili.