@pamilerin Challenges arising, thieving and broken trust are littered throughout every kind of human relationships. In government, churches and romantic relationships. We have such high expectations of 'domestic workers' to 'do right' that we have of the former. Something to think about.
@cloudevguy@kinjeketile This here thinking is why it might not work. You have no respect or acknowledgement of dissimilar ways. You are "better" even though your country is riddled with the same problems we do. A whole country is just "petty" to you.
@OnlineDentistTz Hivi, mtu anakasanya data, anaamini vipi wazazi wangapi hawasemi "bora nisingezaa hawa watoto" kwasababu culturally it is taboo to say sth like that? What sort of inference do abandoned, aborted and abused children make on the idea that children are a 'universal' joy & want?
@MarekaMalili Hii idea ya kwamba matatizo ya mtanzania yanasolviwa na 'tamko' la raisi ni ishara kubwa kuwa ofisi ya rahisi ina nguvu kubwa kuliko paswa. Kwa kifupi tunachagua a "monarch"/falme kila miaka mitano. Hili suala halina utata wa kisheria hata kidogo. The law is clear.
@KennedyMmari Hili tatizo linaanzia mbali sana nimegundua. All the way mpaka manyumbani. Watu wanataka familia nzuri watoto wenye adabu ila hamna mtu ana taka kuweka nguvu kwenye malezi. Kila level from there watu wanategemea results without putting in the effort.
@OnlineDentistTz People find Uni harder because they struggle with self-regulation. Maisha yako yote ticha yuko nyuma na stiki hamna uhuru alafu ghafla uko mlimani ambienga dakika tano tu.
@NikkiWa111@Theklaschulte2 Labda mimi siko fair kwenye hili suala. Bado watoto walikua na baba. Na wengi kati yetu wamekulia na mzazi mmoja au hamna kabisa. Je, ni sawa kumlaumu mama kwa kila failure? Je baba yao hakuwa na responsibility hapa?
@NikkiWa111@Theklaschulte2 And sipendi kuwa mtu wa kusema hili lakini kama mwanamke wako ndo nguzo ya familia bila yeye huwezi kuweka discipline kwenye familia yako what do you expect? Kuna namna nyingi sana anaweza kutoka kwenye maisha yenu inc. kifo. Kumtegemea mtu mwingine kukujengea 'legacy' is just 0.
@NikkiWa111@Theklaschulte2 Kwenye huu mfano, haya yote yametokea, kwasababu, kama ulivyosema, mama ndo alikua nguzo kuu ya familia. Alipoondoka yote yakadondoka. Kila familia ina 'dynamic' tofauti. Kuna ambazo baba ndo nguzo. Kuna ambazo wote wanabebana na kuna ambazo wazazi wote hawaeleweki.
@NikkiWa111@Theklaschulte2 Nadhani kuna correlation kubwa kati ya magonjwa ya presha kwa wazee wa KiTEs na aina ya uongozi juu ya familia. Watoto na mke huwezi ku-control kila kitu. Usaliti hata kijijini upo. Lazima ifike mahali uamini watu watu wa karibu na hii haimaaninishi ufungie macho 'red flags'.