@MariaSTsehai@YoungAfricansSC@FIFAcom Imagine huyo Rais wa Yanga alitaka kuwa mbunge wa Kigamboni, naona hata ccm wenyewe walimshitukia. Jamani inchi yetu kwa sasa inawatu waongo sana. Maneno umeongea mbele ya Camera halafu ndani ya siku mbili unageuka!!!!!!!!!!!!......NRNE....