SIMBA SPORTS wanacheza mechi nyingi ngumu mnoo za Ligi Kwa jina “UDHAMINI”
Haya ni moja ya Mambo yanapaswa Kutazamwa vizuri Kwenye KANUNI za ligi Msimu Ujao
Ingawa mechi hizi zimewaimarisha sana Simba Kimataifa, bado tunahitaji FAIR COMPETITION kwa ustawi wa mpira wetu.