Serikali imesitisha ubomoaji wa nyumba zaidi ya 12,000 kati ya Ubungo na Kimara, Dar es Salaam baada ya Benki ya Dunia (WB) inayofadhili upanuzi wa barabara kusema kuwa, ni ukiukwaji wa haki za binadamu kubomoa nyumba za wananchi pasi na kuwapa fadia.
Sifa ni tamu,Kila mtu anazipenda tatizo tuu ni pale sifa zinapo overpower na kuanza kujiona perfect,untouchable na kuwaona wanaokukosoa kama https://t.co/geXuzrSCzk me kukosolewa kunakujenga zaidi if only u take it positively.
Mahakama nchini Liberia imetupilia mbali ombi la kufutwa kwa duru ya kwanza ya uchaguzi mkuu wa Urais uliofanywa Octoba 10 mwaka huu, hivyo kutakuwa na duru ya pili ya uchaguzi ambapo tarehe bado haijawekwa bayana. Uchaguzi huo watapambana Joseph Boakai na George weah.