MKWE WA JAJI MKUU inahusu nini?
Leo siku ya mwisho kukuona pale viwanja vya Sabasaba, banda la STONE TOWN.
Piga: 0624 379 602
Cheki: @EliteBookstore na @apenetwork
@komanyab Nakala laini ya kupakua hakuna, ila kuna sehemu ya kulipia na ukapata ruhusa ya kusoma kupitia mfumo uliopo linki hii: https://t.co/26MPMWelQ9
Mkuu wa Majeshi, Jenerali Akida Mwema, anamshauri Amir Jeshi Mkuu, Rais Amida Busara kutopeleka jeshi nchini Kongo kulingana na taarifa za kiintelijensia alizonazo. Ilihitajika ustahamilivu kukamilisha mkakati wa kijeshi!