The best bookstore in Tanzania, providing books in all genres, stationeries, games and toys.
Call: +255 658780015 for the fastest response and delivery.
MKWE WA JAJI MKUU inahusu nini?
Leo siku ya mwisho kukuona pale viwanja vya Sabasaba, banda la STONE TOWN.
Piga: 0624 379 602
Cheki: @EliteBookstore na @apenetwork
Jipatie kitabu kizuri cha “Jinsi ya Kurudi Nyumbani” kilichoandikwa na Mtumishi @Es_Taa kwenye maduka ya @EliteBookstore ufurahie mashairi yanayofikirisha na kuburudisha.
Unaweza kuishi na majeraha ya hisia bila kujua. Unafanya nini kuyagundua na kuyashughulikia? Kitabu hiki nilichokipata @EliteBookstore Dodoma kina mengi.
Kinaweza kukufaa ukitaka kuelewa tatizo la afya ya akili —kwa maelezo ya kitaalam na simulizi halisi.
#PsychologyOfTrauma
@Karuhawe@MabalaMakengeza Samahani iwapo uliambiwa utarudiwa alafu hilo halikutokea.
Ikiwa bado hatujakurudia naomba utume order yako na address kwa
+255767861151
+255753435484
Buy a child a book (for Christmas)
Umnunulie mtoto kitabu
Si lazima vya kwangu vitakuwepo vingi.
Karibuni duka la vitabu vya Chuo Kikuu cha DSM saa 4 hadi saa 10 kwa uzinduzi ... michezo, mashindano, muziki.
Karibuni na watoto wenu
@MabalaMakengeza@alexchizzar Katibu Elite Bookstore... Mbezi beach, Palm village mikocheni, shoppers, Moshi, Dodoma na hata mtandaoni https://t.co/C0y2w3EalM
Juzi tuliwakaribisha watu na familia zao nyumbani. Wakati wazazi wlikuwa na mazungumzo yao watoto walishambulia vitabu vyangu wenyewe bila kushawishiwa. Watoto wanapenda kusoma
BUY A CHILD A BOOK FOR CHRISTMAS
UMNUNULIE MTOTO KITABU KAMA.ZAWADI YA KRISMASI #Willythewarthog