Nigerian lives mean nothing under Tinubu.
Absolutely nothing.
There is no excuse for this.
Tinubu should just leave. His administration has claimed too many lives already.
Huyu Dada Maria apewe maua yake kupigania haki Tz sio mchezo bila kukata Tamaa ni moyo wa kipekee sana na huwa hajari upande anacho Jari yeye ni upande wa haki , anasikiliza kero nyingi za raia kuliko viongozi walio na dhamana
@AbroadTanzania Kk nimekuelewa vizur sana na watanzania wengi tupo pamoja na lisu ila ujue ata ukiwa profesa utakosea tu na unapokosea ni vizur uambiwe maana utaona kosa lako so kila anakosea so akikosea na kumpa sapoti bila neno tunakuwa chawa na lisu atak uchawa
@mangekimambi Tena chadema wasijipindue maana iman yetu yote ipo kwao tupo tayar kwa lolote juu yao wakizingua yaan tunamalizana nayo kikatili kabla hatujaendelea na mapambano yaan hawatokuja kuamini sisi ndo wale wa tone tone alaaa eti pole tyuuu
@zoetjesheeftX Kiufupi tu uyu mdudu maana ya kuuliwa kwake mtu anapata thawabu uyu ni silence killer yaan unaambiwa huwa unalamba lamba vyombo ndani na kuacha vimelea hatari uyu mkia wake unazalisha baktelia anapopita maradhi yake sasa kupona majaliwa ndo mana mtume s.a.w akasema tuuwe uyu
Walimu wanatuma salamu kwa madaktari
Nchi imevimba hii alafu polisi bado mnaendelea kutunisha misuli mtaani?
Acheni ❌ hamjui watu walivyo na maumivu
Mnazidi kuongeza chuki!
Eniwei tatizo nikiwashauri machawa wanakuja kuwapeni bichwa! Hawa mabosi wenu wanaowatuma watoto wao wanasoma nje na kutibiwa nje!
#TutaelewanaTu lakini!
‼️🚨DR AGONZA HALI MBAYA SANA - ATOLEWE LEO AU MGOMO UANZE‼️
Jamani uongozi wa @MuhimbiliTaifa na @mamcmloganzila msikae kimya tena
Nimethibitisha kuwa Dr Agonza anatokwa na damu sana na anaweza kuwa na majeraha makubwa ya ndani inayoweza kumwua!
Nyie ndo madaktari si mimi mnajua internal bleeding inaweza kuua! Acheni woga na waambieni polisi wamtoe sasa hivi IMMEDIATELY!
Otherwise MAT watangaze mgomo wa polisi na familia zao NCHI NZIMA!
Huu ni unyama na kama wangekuwa na kesi wangemfungulia mashtaka!
I have been informed that Dr Agonza may be suffering from life threatening internal bleeding and is bleeding everywhere profusely! This is an EMERGENCY 🆘
The police need to release him for medical care at a proper hospital!
#FreeDrConradAgonza
@millardayo Safi kabisa sasa kila muislamu asipuuze tufunge kisha kwenye maombi yetu tuelekeze mungu atuondolee balaa utekaji na kila kiongozi dhwaalim afute mara moja atupe haki na kutuepusha na uongo na unafki atupe viongozi wema yeye ndo mjuaji zaidi kuliko sisi .... yan tufunge na dua
@association_mat Yaan apa mpka tuongee lugha moja wote fikilia pois wakifa watu wanashangilia yaan kwa hali ya sasa polisi wakimkimbiza jambazi basi wananchi watakuwa upande wajambazi watampigania kwa wivu wote leo mtu ampige alie mpiga polisi sahau kqbisa
@SimbaSCTanzania Ifikikie mda awa nyoko tuachane nao na mipira yao waliokufa kipindi kile ni mashabiki wenzetu pia wa simba na yanga mi kuanzia leo sitak tena huu ni unafki
Read the comments here below this post to understand why I said the current tension in the country is concerning
This is now boiling over to acute and active hatred for a murderous regime! This is untenable!
THIS IS THE LIFE IN TANZANIA 🇹🇿! POLICE ARE FOR THE POLITICIANS, ARE ALSO POLITICIANS, ARE FOR SAMIA SULUHU, ARE FOR CCM BUT NOT FOR THE HUMAN RIGHTS NOT FOR THE RIGHT OF THE CITIZENS. IT’S SO SAD .
@hrw@amnesty
@royalmediatz Ok tuache mengi embu tueseme sawa hamjausika ila swal langu km mlijua watu walikufa ninyi km ccm mliongea nini kuhusu ilo swala mpo kimya mpka leo km amjui ss raia ndo wasomi tunawaelewa vzr