๐จ UPDATES โ๏ธ
โก๏ธ Mshambuliaji wa Young Africans ๐น๐ฟ Prince Dube ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Zimbabwe ๐ฟ๐ผ kwaajili ya mashindano mafupi ya timu nne za Taifa yatakayofanyika Machi 23-31 nchini Botswana.
โ Timu shiriki ni Botswana, Zambia, Malawi na Zimbabwe.
๐๐๐๐๐๐ฌ
๐๐จ๐ฎ๐ง๐ ๐๐๐ซ๐ข๐๐๐ง๐ฌ ๐๐๐๐๐ข๐ฆ๐๐ ๐๐
New Amaan Complex | 8:15pm
#NBCPremierLeague
"Tumeanza maandalizi tangu juzi na leo tunakwenda kumalizia maandalizi hayo, wachezaji wangu wapo tayari na wana morali ya kucheza mechi hii kubwa, kama kila kitu kitaenda sawa nina imani tutakwenda kufanya vizuri kesho" Pedro Goncalves
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
"Hii ndiyo derby yangu ya kwanza dhidi ya Simba. Kazi yetu ni kujiandaa kwa ajili ya kushinda kila mechi tunayocheza. Iwe ni dhidi ya Cosmo Politan au Al Ahly, lengo letu siku zote ni ushindi. Ndivyo ilivyo hata kwa mchezo wa kesho; tunalenga kushinda, japokuwa tunatambua kwamba tunakwenda kukutana na mpinzani mwenye uwezo mkubwa.
Simba ni miongoni mwa timu bora nchini Tanzania. Wamewekeza kwa kiasi kikubwa katika soka na, kwa maoni yangu, wamekuwa imara pia katika michuano ya kimataifa hivyo tunatarajia kucheza dhidi ya moja ya timu kubwa barani Afrika. Tunapaswa kuwa waangalifu na kujitolea kwa hali ya juu na kuonyesha umakini mkubwa ili tuweze kupata matokeo mazuri" Pedro Goncalves
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Walisema Goba ni Pori la Akiba, ndio wanaosema Kibaha ni mbali.
Usiingie mtego huo.
Miji inakua, inajitegemea na watu wanafurahia maisha yenye nafuu.
Kibaha Visiga Project.
Lipa kwa Awamu, Karibu tuongee.
Watokee vijana humu wasizidi 5 waunde kampuni ya ICT Consultants Wafanye Development, Practical training, risk assessment and ICT Planning, Maintaining, Manage, repair and Advice on ICT Infrastructures, Namna bora ya matumizi ya ICT kwenye office/Biashara.
Hela hizi hapa ๐
Kijana mmoja alimuendea Padre wake na kumwambia;
Baba sitaenda tena kwenye Misa!
Padre akajibu na kumuuliza; Kwa nini?
Kijana huyo akajibu;
Nimemwona dada mmoja anayemsema vibaya dada mwingine; pia nimeona kaka kikundi cha waimbaji kinachoishi vibaya; watu ambao wakati wa Misa hutazama simu zao za mkononi, na miongoni mwa mambo mengine mengi mabaya ambayo naona yakiendelea kanisani.
Padre akamwambia;
Sawa, lakini kwanza nataka unifanyie jambo fulani; chukua glasi iliyojaa maji mpaka juu na uende kanisani kwa mizunguko mitatu bila kumwaga tone la maji sakafuni. Baada ya hapo unaweza kuondoka kanisani.
Na kijana huyo akasema mbona hiyo rahisi sana!
Na akafanya mizunguko mitatu kama Padre wake alivyomuomba. Alipomaliza alisema;
Tayari, Baba;
Na Padre akajibu na kumwambia;
Ulipokuwa unatembea, je, ulimwona dada huyo akimsema vibaya mwingine?
Kijana akajibu; Hapana
Je, umeona watu wakilalamika?
Kijana akajibu, Hapana
Je, umeona mtu yeyote akiangalia simu yake ya mkononi?
Kijana akajibu, Hapana
Je, unajua ni kwa nini? wewe ulizingatia kuumaliza mzunguko wako ili maji yasidondoke.
Vile vile na katika maisha yetu. Wakati lengo letu ni Bwana wetu Yesu Kristo, hatutakuwa na muda wa kuona makosa ya watu.
Yeyote anayeondoka kanisani kwa sababu ya watu ujue hakuja kwa ajili ya Yesu.
To @AllanOkello8,
You represented our colours with great distinction during your two and half years at St Maryโs Stadium, Kitende.
We thank you for your humility, leadership and commitment. May these qualities serve you well in your next venture.
Once a Venom, always a Venom. โ๐ฟ
Yours,
@VipersSC โค๏ธ
#VenomsUpdates || #OneTeamOneDream ||