@Mkali26Og@godbless_lema@MsigwaPeter Why arud chadema! Hpna hpna vyama vyote ni kwa mujibu wa katba hata alipo now days ni jukwaa sahh kikubwa aendeleze mapambano ya kuwapgania wananchi wake kama ilivyokuwa adhima yake toka akiwa chadema.
@AdoShaibu ww ni msomi wa sheria (LLB) lakin hoja yako kwa DPP huoni kama ipo tofaut na ibara ya 59B(4) ya CURT 1977?. Ni kweli ndgu zetu wapo ndani kwa makosa ya uhaini iliyotokana na kilichotokea trh 29/10/2025 lkn je tusublie kauli ya Rais inayokiuka katba kuwa mwarobain wetu!
Taarifa kutoka mikoa mbalimbali zinaonesha kuwa agizo la Rais Samia kwa Mkurugenzi wa Mashtaka kuwaachia huru watuhumiwa wa maandamano ya tarehe 29 Oktoba 2025 halijatekelezwa.
Taarifa zinaonesha kuwa bado mamia ya watuhumiwa wanaendelea kupelekwa mahakamani na kusota rumande.
@VitusNkuna@Rubibi_idrisa Wakat wantanzania tunapambania no reform ww ulikuwa kupambania pesa za chaumma mpka pale kitumbua kilipoingia mchanga tupumzishe kidgo kaka file lako sio zuri sana
Sawa nakubaliana na ww kuwa uzalishaji umeongezeka, je wajua bei za mafuta ya mawese huzid kushuka siku baada ya siku? Hivyo kusababisha hasara kubwa kwa wakulima wa zao hilo?
Kwa kirefu zaidi nimeandika Jamiforums na kwenye ukurasa wangu wa Instagram
Safari ya Ubunge Kigoma Kusini 2025 kura zangu hazikutosha na Kamati kuu ya chama chetu ilimpa dhamana aliyeongoza. Nawashukuru Ndugu, Jamaa na marafiki mlionisapoti kwa miaka 4
https://t.co/C5rNgQHJdk