@Vicent_mashinji Ununuzi wa ndege,ujenzi wa reli,barabara,meli,hospital kila kona,namengine mengi hamjawai sema asante jifunzeni kushkuru nyie wanadamu.
@Vicent_mashinji Tatzo lenu hamjawai kula mkashiba hata siku 1 kilichobaki ni malamiko kwa majilani ili wawape msaada pambaneni na khari zenu ili makao makuu yenu ikamilike kujengwa