@royalmediatz Kama hayahusiani na @TunduALissu basi yafanyeni inavyowezekana bila @HecheJohn pia mbona jibu simple tu?chadema sio Tanzania ni taasisi kama haina ina misimamo yake kama umeona haina huo umuhimu kwanini muing'ang'anize?
@Bycola3@MariaSTsehai@HecheJohn Hata akiwala ni sawa kwani mmeambiwa yeye ni hanisi?hata akiwa na skendo 200 tuko nae mpaka mwisho,@HecheJohn Baba we piga kazi,,kama ulidinya huo ndio uwanaume haswaa tunaoutaka,,ndio ukamanda sasa๐ฅ๐ซก
@Sativa255 Kama hii ndio nyumba anayojenga @HecheJohn basi na hizo nyingne achukue zote tutachanga tena,,kwa hiyo hii nyumba ndio mabilioni ya fedha? Bwana uturehemu๐ฅน aibu naona mimi
@Jaguar_455 Chama kimetoa wapi hela?kama wanaona wivu hizo tunazochanga uwanjani na wao si waitishe mikutano wachange wale?sisi wachangaji tumeridhika hela zetu ale @HecheJohn kwani kuna shida gani?
@YerickoNyerereT Ebu uliza tushachanga shi ngapa hadi sasa?au ni watu gani unasemea wewe?๐๐ Sisi wenye akili zetu tushatuma hela za kutosha we dili na chauma yako kaka