Last week, the Tanzanian government suspended a local newspaper for 6 months for reporting that the country’s vice president had refused to resign.
Today, VP Emmanuel Nchimbi announced he’s resigning after a year in the job 👀
This man @TunduALissu 🫡
Weka itikadi pembeni zozote unazozijua, kwangu mimi kielelezo cha anayetakiwa kuitwa
1.Kiongozi wa upinzani
2.mwanaharakati
3.Mcha Mungu
#UMEFANIKIWA
Wauaji walimualika Benny Hinn aje Tanzania kwa mwaliko wao
Lengo kuhadaa Wakristo na watu wa kanisa
Kabla hajaja akampigia simu Apostle Mwingira maana ni marafiki
Apostle akasema mimi siwezi kutumika kusafisha damu za watu
Kama unakuja uje kivyako, ila mimi siwezi kuja kukupokea
Listen to Apostle Mwingira
The illegitimate murderous govt of Samia Suluhu invited @Benny_Hinn to come and paint them as nice people not persecuting Christians
Benny Hinn called Mwingira to go and receive him and Mwingira refused
@SenTedCruz thank you for speaking and acting on the persecution now these killers want to whitewash their crimes with unsuspecting US men of God
Please do NOT travel to Tanzania @Benny_Hinn and stay away from this regime and its people
Mungu atatupigania ila tusiache kupambana wapendwa! Tumeshashinda ila wamekaza fuvu! Wanaumbuka kila siku
Mwenyezi Mungu ambariki na kumlinda Apostle Mwingira 🙏🏽
Wauaji walimualika Benny Hinn aje Tanzania kwa mwaliko wao,
Lengo kuhadaa Watanzania
Kabla hajaja akampigia simu Apostle Mwingira maana ni marafiki,
Apostle akasema mimi siwezi kutumika kusafisha damu za watu,
Kama unakuja uje kivyako, ila mimi siwezi kuja kukupokea!
Tundu A.M. Lissu anavyowasilisha utetezi wake hapa Mahakama Kuu, sioni kama upande wa mashtaka utaweza kumfanyia hojaji ya dodoso (cross-examination). Amewatandika ipasavyo. Nafikiri waendesha mashtaka hawajawahi kukutana na mtu wa aina hii. Tundu Lissu, is the legal titan.
Kwa hiyo Mbowe aliandaa kitu cha kupandisha dau kuelekea uchaguzi wa 2025 Kumbe @TunduALissu asingeshida ule uchaguzi jamaa alikuwa anapiga mihera aise Kumbe ndiyo maana majamaa yana hasira na Lissu kwa sababu ameyazibia mifereji ya mihera asante Mungu.
16 des meilleures équipes de Counter-Strike sont venues pour vous impressionner, et il n'en reste que deux.
Regardez la grande finale en direct de l'Accor Arena aujourd'hui pour ne rien manquer.
HABARI YA UKWELI NA UHAKIKA KUHUSU KUBINAFSISHWA KWA UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU JULIUS NYERERE, KWA KAMPUNI YA ADANI GROUP ILIYOPO INDIA.
Inadaiwa kuwa tarehe 22 Julai 2026, jijini Dubai, Spika, wabunge, Waziri wa Uchumi Mbalawa pamoja na mtoto wa Rais Samia Abdul, wakifuatana na wabunge wengine takribani 25, walihudhuria shughuli zinazohusishwa na kampuni ya Adani Group.
Miongoni mwa majina yaliyotajwa ni Mussa Hassan Zungu, Mashamba Ndani, Sospeter Muhongo, Damas Ndumbalo, Masanja Kadogosa, Erick Shigongo, Living Lusinde, Nape Nnauye, Msukuma Kasheku, Festo Richard Sanga, Bonaventure Kiswaga, Anna Kilango, Marcela Ester Amos Bulaya, Mwanaenzi Hassan Suluhu, Mariam Ditopile, Mwita Mwikwabe Waitara na Jackline Mzindakaya.
Kwa mujibu wa madai hayo, kila mjumbe aliyeshiriki alilipwa kiasi cha dola za Marekani 7,500. Inadaiwa kuwa ziara hiyo ilihusishwa na mchakato wa uwekezaji na uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam, ambao kuna madai kuwa unalengwa kubinafsishwa.
Pia, anatajwa mtu anayeitwa Ojambi Masaburi, ambaye kwa mujibu wa madai hayo ndiye aliyekuwa akiratibu baadhi ya masuala yanayohusiana na fedha na safari hizo. Bunge haramu la Kesho Tarehe 24.08.2026 ndio linaenda kuanza kujadili uhalamia na uuzwaji wa uwanja wa ndege tegeni maskio.
WAKISHUPAZA SHINGO NITAKUJA NA NYARAKA NA DOCUMENT ZOTE KESHO JIONI ili kuweka wazi ushahidi unaohusiana na madai haya.
Pia, nitawasilisha taarifa nyingine kuhusu Saadani, ambayo inadaiwa kuwa na mambo mazito ya hovyo.
ameumizwa sana na vitendo vya utekaji na kupotezwa kwa watu ndani ya Nchi yao, Amesema kuwa Polepole ambaye ni mwanaccm lakini amepotea kama kuku.Makamu Mwenyekiti wa Chadema@HecheJohn