Kuna uwezekano mkubwa sana tukashinda dau nono around milioni kumi Jumatatu hii pale Sportybet. Goli moja lipatikane kila mechi, Jumla ya Mechi ni 50.
Mkeka una odds 327+
Stake👉31K | Payout👉10.2M
Retweet upewe Code mapema
Watu waelewe kwamba hata ukiomba radhi kwa moyo wa dhati, bado kuna athari ya matendo yako lazima uwajibike
Sawa kuomba msamaha kunaonyesha kujali, lakini kukubali adhabu ni sehemu ya mchakato wa kusamehewa
Huwezi kucheza michezo ya kiduanzi kisha utegemee matokeo ya kiungwana
Kuna NG'OMBE hua zinasema forex trading ni sawa na sports betting. Si ndio?
Sasa ligi zimeanza, natoa challenge
Chagueni best gambler mnaemfahamu
-Nampa 1M apige betting zake
-Mimi pia na-deposit 1M na-trade FX & crypto
Tunafanya weekly comparison kwa wiki 8. Transparently!
What's your favorite "A confession of mad...." from @dizastavina? #DZSTVN#GengeLaWajenzi ⤵
1. A Confession of a Mad Man
2. A Confession of a Mad Philosopher
3. A Confession of a Mad Teacher
4. A Confession of a Mad Son
5. A Confession of a Mad Father
6. The Last Confession
- Dizasta aliitwa Dk 10 za maangamizi kwa recommendation ya Dickson Msami na sio Wakazi.
- Dizasta hajawahi kufanya Video ya bure
- Dizasta hajawahi kupokea funds kutoka kwa Wakazi au Sponsorship yeyote
- Dizasta hajawahi kufanya video yeyote na Mecky Kaloka
Nafikiri Kitu Ambacho Nimechelewa,
Kukielewa Katika Maisha.
Ni Kuwa Namna Gani,
Ulimwengu Una Operate.
Kusoma Na Kuzielewa,
Sheria Za Ulimwengu.
Kwanini?
🧵👇🏾