@Jumaa33971641@gabyconscious 😅😅😅
Itabidi unioneshe hilo chimbo la wanawake huko Sonapur nianze kufika,last time nilizunguka almost 3hrs ila nilikuwa nakutana na wanaume tu
@sheisfasy @gabyconscious Yeah hasa upande wa Engineering nilipo mimi,nawaona sana wanafunzi wa kutoka hapo wakija kujifunza kwa vitendo mara kwa mara,na wana policy yao inasema,mwanafunzi yoyote mwenye taaluma kutoka katika chuo chao lazima atafutiwe nafasi Dnata na Emirates
@sheisfasy @gabyconscious Ni sahihi kabisa unachoongea,nafanya kazi Emirates na graduates wanaotoka hapo wanapata kazi moja kwa moja kwa course uliyosomea
🚨 Arsenal reach agreement in principle with Crystal Palace to sign Eberechi Eze. Deal worth around expired £68m release clause - matching what #THFC were ready to pay. Personal terms close + 27yo plays for #CPFC on Thurs before #AFC medical @TheAthleticFC https://t.co/vo5xWTomOI