@INFLUENCERjr@ManenoIzaak Nay Anadiss Wasanii wenzake ila hanaga migogoro na Media House, na Nyimbo zake zinapokelewa sana mitaan Kuliko za Nikk (Sina Maana kuwa Nikk sio mkal kwa Nay) mziki wa Nay Unambeba
Nikk Alishawah kuwa na Migogoro na Wadau na Media House,Mapokez ya mziki wa ni mdg
@BontaKiraka@ManenoIzaak Kwaio Umeonewa??
LKn kakuambia um-Tag kweny POST ako ya Tangazo na Sio Kuweka Reply ya Biznez kweny Post ake isiyo ya Biznez
Ttz wenzio wanaweka Tangazo la Biznez had Kweny Post ya Msibaπ