Taasisi ya , Reconstructing Women International kwa miaka 4 imekuwa wakifanya kazi pamoja na hospitali ya Aga Khan na hospitali ya taifa Muhimbili kutoa upasuaji wa urekebishaji kwa wahanga wa ajali na ukatili wa kijinsia. #RudishaTabasamuUsoniMwao
Ikiwezekana wakate hicho kichwa cha nyerere wa Chato wabandike hiki cha kulia cha nyerere wa Tanzania.
Hapo ukimuangalia kwa makini mheshimiwa Rais unaona kabisa alikua kashaona makosa kuwa hakifanani sema basi tu atafanyaje hawezi kumwaga mchele kwenye kuku wengi πππ
Kuna ujumbe unazunguka ukieleza kwamba kuna tamko lililotolewa na Mkurugenzi wa NEMC Ndugu Boniventure Baya kwamba misikiti na makanisa yatatozwa milioni 10 kwa ajili ya adhana na kengele. Ufafanuzi:-
1. Dkt. Baya amestaafu NEMC tangu 2017.
2. Hakuna tozo ya adhana wala kengele.
Baba wa Taifa alitoa Tamko la kwanza la Uhifadhi nchini, ambalo ndiyo dira yetu. Tuzo ile ina heshima kubwa. Tuache dhihaka kwa sababu hakuna aliyefanya kazi ile kwa kusudi hilo. Tumesema linashughulikiwa tunaomba mtuamini, mtupe muda turekebishe. #BurigiChatoNationalPark
@GoldenBoySean Hata ukifungua saloon ya kunyolea nywele wanaume ukiifanya ya kisasa saana unaweza kukosa wateja.
Kikubwa ni kuangalia eneo na unatarget wateja gani.mfano package mbovu kwa bidhaa ya supermarket ni moja kwa moja haitovutia wateja
#Customertarget
Package za bidhaa zako zinaweza kuwa kikwazo kwenye mauzo yako, Sisi watu wengi tukiona bidhaa imefungashiwa vizuri basi tunadhania bei itakuwa kubwa kutokana na ubora wa kifungashio cha bidhaa yako.
Wenzangu mmeliona hilo??
Waziri Mwakyembe : Niwaombe WaTZ tuendeleze utamaduni wa utu ndugu zetu wanapopata ajali, niwaombeni acheni tabia ya kupiga picha na kurusha kwenye mitandao, sheria ya mitandao inakataza, hatutazungumza tena hili ni onyo la mwisho.
#RIPNduguZetu#TutawakumbukaMilele
Kwa kipindi cha miaka minne kuanzia sasa, Tanzania itakuwa na uwezo wa kubangua Korosho zinazozalishwa ndani, kwa asilimia 60, huku lengo likiwa ni kuongeza uzalishaji kutoka tani 313,000 hadi tani 600,000 kuanzia mwaka 2023/2024.
#KwanzaHabari
Nimepokea Nakala Ya Kwanza Usiku Huu.Sikuweza Kulala. It's Such An Incredible Feeling.Siwezi Kuelezea.Finally, What Was Initially Seen As Impossible Become Possible. It's Now The Reality.Comeon!
#MimiNaRaisBookLaunch#JamhuriYaWatuWaStanza
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Timu ya Taifa βTaifa Starsβ Emmanuel Amunike tumefikia makubaliano ya pamoja kusitisha mkataba baina yetu. https://t.co/lX6cXhi4ln
Upumzike kwa amani ndugu yangu Charles ulikuwa kijana mdogo mwenye upendo mkubwa sana na ari kubwa ya kazi. Asante sana kwa support kubwa uliotupatia Kisarawe enzi za uhai wako ukiwa na timu ya @azamtvtz
Natoa pole kwa ndugu na uongozi mzima wa @azamtvtz kwa msiba huu mzito ππ½