@arusha_icon Hata kama wamefatuana hilo ni jambo la kawaida; hao wanaoshangaa watuondolee ujinga wao hapa. Hebu tungee vitu sensible huu ni mwaka wa maana sana kwetu !
@SheikhPonda Kama walifanya makosa kweli hiyo ndio hukumu yenyewe, na kwa wale ambao hawakufanya hukumu imewascha huru. Labda wewe kama una ushahidi wa kuonesha hawakuwa na makosa weka mezani
MWANAFUNZI HUYU ANATAFUTWA
Mwanafunzi Sara Filimoni Mwamengo wa Msense Sekondari, Mbozi wa kidato cha 4, tarehe 2/6/2023 aliaga nyumbani anaenda shuleni kukaa hosteli lakini hadi leo hajafika na hajulikani alipo.
Ni-DM ukipata taarifa zaidi.
Tuchague viongozi watakaoweza kutengeneza mazingira mazuri ya shule ambayo wao wenyewe watakuwa wanayaamini kuwa ni mahali salama kwa elimu za watoto wao.
#ModestAlphonce#DsmTanzania