@zittokabwe@ACTwazalendo You are very right Mwami. Kususia uchaguzi ni kumsusia nyani mwenye njaa shamba lako la mahindi. Usitegemee kuambulia chochote.
Kutoshiriki uchguzi ni kosa la Kimkakati kisiasa. Wakombozi wetu licha ya maovu na madhila yote walishiriki Chaguzi za mkoloni na japo kwa Mizengwe sana, Mwl. Nyerere aliunda serikali hatimaye. Kutoshiriki uchaguzi ni kumsusia nyani shamba lako la mahindi.
@Tanesco_ Tanzania, kitendo cha kukatakata umeme, hasa kuwakatia umeme Watanzania wakati wa mechi ya kitaifa dhidi ya Morocco ni uhujumu na ukosefu wa uzalendo. Tunakerwa na tabia ya kukatakata umeme hasa katika matukio muhimu yanayogusa hisia za wengi.
Kama danadana tulizowekeza kwenye siasa zetu tukizipeleka na kwenye soka letu tutegemee ligi yetu kupoteza heshima yake iliyojengwa kwa nguvu na gharama kubwa ikiwemo kufungiwa na mamlaka za kikanda na kidunia za soka. Pawa Lufunga nalaani ishara hizi.
Ishara za uoga, viashiria vya kutaka kupanga matokeo na Ushabiki wa vilabu (Usimba na Uyanga) miongoni mwa Viongozi wa bodi unaharibu soka letu. Kama hawatabadilika ipo siku nayo haiko mbali ligi yetu itafungiwa na mamlaka za Kikanda na kidunia za soka.
Marekani siyo nchi yetu, Trump si Rais wetu, Waafrika hatulipi kodi Marekani. Tuache kulialia hii ni wake up kwa Afrika kuwa hatuna wajomba na mashangazi zetu Ulaya, Marekani na Uarabuni. Viongozi wetu msitafute kichaka cha kujifichia jengeni nchi zetu.
@WHO@WHOAFRO@WHOEMRO@WHO_Europe@WHOSEARO@WHOWPRO@pahowho We the people of Africa ask Mr. Trump not to withdrwa America from WHO. The USA is among the superior states whose contribution in serving the poor nations in health cares is unquestioned.Trump will have caused cries to many if he removes the USA from WHO.
Uchaguzi wenu unafanywa na wahuni wa FB kwa comment za wapinzani wenu wanaotukana viongozi wenu nanyie mnaungana nao bila kujua mnapigwa za usoni?
Tukaneni viongozi wenu wa juu yaani Mbowe na Lissu huku mkijua baada ya Januari 23 ni aidha Mbowe au Lissu.
@SuluhuSamia Emanuel pokea fungu hilo kutoka kwa mkuu wa nchi. Ikawe sadaka yenye matunda kwani si wote waombao hupata, wewe umebahatika nenda katende kwa mapenzi ya Mungu. Amina.
@MariaSTsehai@robare_james Hapa ulipo unakuwa chawa wa Lissu ila machawa wa Mbowe unataka uwaone kama hawana akili. Tukubalianeni kutofautiana kimitazamo bila kushambuliana kimwili bali kifalsafa