@fbuyobe Kwa sisi tunaoweaza kuread between lines huo ndo wakati unafaa. We get more than you intend to share. Funny that I listened to Lema's interview and concluded he is not compromised. He is the same Lema we know.
UKIONA jambo wenzako hawakuungi mkono, liache kwanza. Rudi nyuma. Jipange. Huo ndio uongozi. Kung’ang’ania jambo linalopigwa na wengi, ni kutaka kushindana na maji ndani ya mkondo wake.
POLENI FAMILIA YA MWL. LISSSU MUGHWAI:
Kwa TUNDU LISSU, VINCENT MUGHWAI LISSU, Mchungaji ROSE MASASE na Wakili IKOTI MUGHWAI LISSU, poleni sana kwa MSIBA MZITO kwenye FAMILIA na UKOO wenu, kwa KIFO cha Wakili ALUTE LISSU MUGHWAI. Mwenyezi MUNGU awajalie SUBIRA na USTAHIMILIVU.
📍
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ndg. Godbless Lema amesema Mwanaharakati, Mange Kimambi ni zaidi ya shetani na ni muongo sana, aidha ameonya kuwa Mange Kimambi amekuwa na tabia ya kuitisha Maandamano, Vijana wanakufa halafu haji kuzika
Katika jamii yetu, ukikosea adhabu ni stahiki. Lakini MDUDE si tu kwamba ameadhibiwa, bali ameteswa isivyo kifani bila kosa. Tunatazamia mwanzo mpya, hatma yake, kwa shauku. #HakiKwaMdude
Watoto wanne Kati ya 10 wa Mzee Lissu ni wanasheria, pia Alute Mughwai aliyefariki leo amemzidi Tundu Lissu miaka 13. Familia ya Lissu imetoa tamko rasmi kuwa mazishi yake yatafanyika huko Singida lakini yatafanyika baada ya siku ya hukumu ya kesi ya Tundu Lissu yaani baada ya Novemba 06.
Nimepokea Kwa masikitiko makubwa taarifa ya msiba wa Wakili Alute Mughwai Lissu ambaye ni Kaka wa Mwenyekiti wetu Mhe Tundu Lissu. Kifo hiki kimetokea siku 5 tu kabla ya hukumu ya Mhe Tundu Lissu. Ninatoa pole zangu za dhati Kwa familia na ukoo wa Lissu, Chadema na watanzania.
nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha mzee alute mughwai lissu. moyo wangu unakwenda kwa familia yake, hususan mke na watoto wake, katika kipindi hiki kigumu. mungu amsamehe, na ailaze roho yake mahala pema peponi 💙.
🎥: @izzy_pro_director, @TheChanzo:
SALAMU ZA POLE KWA MHESHIMIWA TUNDU ANTIPAS LISSU KUFUATIA KIFO CHA KAKA YAKE, MAREHEMU WAKILI ALUTE
Ndugu yangu Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu,
Kwa huzuni na masikitiko makubwa, nimepokea taarifa za kuondokewa na kaka yako mpendwa, marehemu Wakili Alute.
Napenda kukufikishia salamu zangu za dhati za pole na rambirambi, wewe pamoja na familia nzima, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huu.
Kuondokewa na kaka ni pigo kubwa katika maisha ya familia. Ni kumpoteza mtu mliyeshiriki naye historia, malezi, upendo na kumbukumbu nyingi za maisha. Hakika, pengo analoliacha marehemu haliwezi kuzibika kwa urahisi.
Ndugu yangu Lissu, msiba huu umekukuta katika kipindi chenye changamoto nyingi. Ninatambua kuwa katika mazingira kama haya, uchungu wa kufiwa unaweza kuwa mzito zaidi. Ninakuombea Mungu akupe nguvu, uvumilivu na faraja ya kustahimili majonzi haya.
Maandiko Matakatifu yanatukumbusha:
“BWANA yu karibu nao waliovunjika moyo, na waliopondeka roho huwaokoa.” — Zaburi 34:18.
Katika wakati huu wa kuomboleza, tunamshukuru Mungu kwa maisha ya marehemu Wakili Alute na kwa kumbukumbu alizoacha kwa familia na wote waliomfahamu.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, awafariji wafiwa wote na kuwajalia moyo wa subira na amani.
Poleni sana kwa msiba huu mzito. Tupo pamoja nanyi katika majonzi na sala.
Kwa heshima na masikitiko makubwa,
Rev. Peter Simon Msigwa
🕊
Nimeumizwa sana na kifo cha Kaka yake TUNDU LISSU ambaye alikuwa Mwanachama mwanifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania. Ninatoa pole kwa M/Kiti wa CCM Taifa,Ndg. @SuluhuSamia kwa kuondokewa na Mwanachama wake na Wote mlioguswa na Msiba huu.Apumzike kwa Amani Mzee Alute LISSU💔
#BREAKING: EUROPEAN PARLIAMENT SHORTLISTS TANZANIA’S TUNDU LISSU FOR SAKHAROV PRIZE
The European Parliament’s Foreign Affairs and Development committees together with its Subcommittee on Human Rights have today shortlisted candidates for the 2026 Sakharov Prize for Freedom of Thought, with Tanzanian opposition leader Tundu Lissu among the nominees.
Lissu, nominated by the European People’s Party (EPP) Group, has been recognized for his role in championing electoral reform, political fairness, and the restoration of democracy in Tanzania despite years of persecution.
“Tundu Lissu has been at the forefront of the struggle for electoral reform, political fairness and the restoration of democracy in Tanzania. Despite relentless persecution, he has remained steadfast in his fight. His nomination sends a powerful message of solidarity with democracy defenders around the world and reaffirms our support for their courage and determination,” said MEP Reinhold Lopatka, who spearheaded the nomination.
The Sakharov Prize, awarded annually by the European Parliament, honors individuals and organizations who dedicate their lives to defending human rights and freedom of thought.
Meanwhile, Lissu remains in custody in Tanzania awaiting a final verdict in his ongoing trial. He has now spent more than 18 months behind bars since his arrest in April 2025, a prolonged detention that continues to draw international concern.
Tanzania’s Tundu Lissu deserves the Sakharov Prize.
Facing a possible death sentence amid concerns over the fairness of his trial, the Tanzanian opposition leader remains a courageous symbol of the fight for democracy, human rights and the rule of law.
Hear more from EPP Group MEP @ReinholdLopatka.
📍
UVCCM tunapaswa kuungana na Waziri Mchengerwa kukemea vikali RUSHWA sirini na hadharani maana hatuwezi kutatua tatizo la RUSHWA kwa kujidanganya kuwa halipo. Lazima tukiri kuwa tatizo hili lipo tumeliona kwenye chaguzi za ndani zilizopita na limekuwa likikemewa na Ndg. Wasira
Hizi ni baadhi tu ya nyumba zinazojengwa Kenya nzima kupitia mpango wa Rais Ruto wa kuwapa Wakenya makazi kwa bei nafuu. Jana Rais Ruto alizifungua rasmi nyumba hizi zilizopo Eldoret, ambazo jumla zipo 2157. Watu tayari wamekabidhiwa funguo zao na miji inaendelea kujengeka vizuri
Mapenzi ya Mungu hayasemi watu wauwawe
Watu watekwe
Watu wasingiziwe
Inahitaji kutii kile Mungu anasema kwa mawazo
Kutoa mapenzi ya Mungu na kukubali kupambana na wanaokataa inahitaji kujikana nafsi
.tunapoweka kando matamanio yetu NI kwa sababu yenu
Tunapoona shida inayokuja tunajikana nafsi na kuamka upya
.
Kubalini katika nyakati hizi ngumu tujitoe sote kwa pamoja msituachie kazi hii wachache
Kama huna nguvu ya kusafiri changia mageuzi iepushe CHADEMA kuwa chama cha mfukoni ishikilie wewe kwa namna unavyoweza kama tunavyounga neno la Bwana mkono liende mbele kutuokoa nafsi zetu basi tupunguze sehemu nyingine sasa tuweke kwenye upiganiaji Haki NI wakati mgumu ...tujitoe sote twende sambamba ...mtu mmoja aseme sambamba na HAKI sambamba na HAKI ...