Mfundishe kijana wako kazi za nyumbani, hili kesho aoe mke sio mtumwa
Mfundishe binti yako nidhamu ya pesa, hili kesho aolewe na mume sio mhasibu
Wafundishe kuhusu makosa na samahani, kesho wajue wanaenda kuishi na binadamu sio malaika
Wafundishe mapema, ulichochelewa kukijua.