#VIDEO Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya klabu ya @SimbaSCTanzania Boniface Lihamike akieleza kuhusu uchaguzi mdogo wa kuziba nafasi ya Mwenyekiti wa klabu upande wa wanachama ambao utafanyika Februari 7, 2021 ikiwa ni kuziba nafasi ya Swedi Mkwabi ambaye alijiuzulu.
#UNAAMBIWA Kama Bilionea Bill Gates ataamua kuwa kwa siku moja awe anatumia USD MILIONI 1 (Tsh. Bilioni 2.3) basi itamchukua miaka zaidi ya 279 kumaliza utajiri wake, Je ukisema utumie Elfu 50 kila weekend shopping Palm Village Mikocheni kapu lako litadumu miaka mingapi? 😀
Bado leonce Marto anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa maagizo ya RPC afande Bwire,hajachukuliwa maelezo,kitendo cha kushikiliwa kwa ndg Marto ni Mwendelezo mwa vitendo vya Ukandamizaji,uonevu ukiukaji wa haki za binadamu wanazofanyiwa wapizani
From yarn-spinning to finished product, we have an unprecedented ability to govern our supply chain compared to many other companies, helping us embed sustainable and responsible manufacturing standards across every level of our operations!
TANAPA KUANZA KUWEKA 'CABLE CAR' MLIMA KILIMANJARO
- Cable Car itaanzia karibu na Geti la Machame la kupandia Mlima #Kilimanjaro na kuishia Uwanda wa Shira
- Itakuwa na Urefu wa mita 3,700 kati ya 5,895 za Mlima na haitafika kwenye Kilele
Soma - https://t.co/muiBlBkqYj
#JFLeo
Aliyekuwa Mgombea Udiwani Kata ya Nduli Iringa Mjini Kupitia Chadema Mhe @Lm83Marto amekamatwa na Polisi Mkoani Iringa bado haijajulikana kosa lake ila amenyimwa Dhamana.
Pia kuna taarifa za kukamatwa Wagombea Udiwani wengine na Viongozi wa CDM Iringa Mjini.
#FreeLeonceMarto
Ukiamini wewe upo salama usidhani wengine wapo salama. Tumeshuhudia mauaji ya kutisha ya jamaa zetu, kuteswa, kupotezwa, kupigwa risasi na hakuna uchunguzi unafanywa. Kuikosoa serikali Afrika usidhani ni kazi rahisi. Jaribu uone balaa lake. Waache watu watafute hifadhi salama.
Unataka kununua apartment Dar es salaam?? zipo hizi za PALM VILLAGE Mikocheni kwa Warioba pembeni ya bahari, zipo za kuanzia vyumba viwili na kuendelea, nafasi ya kutosha ndani, swimming pool, sehemu za kupumzika, chini kuna MALL na zimejengwa kisasa zaidi. 📞 0659 800800
Visiwa vya Faroe, sehemu ya Ufalme wa Denmark vimevunja rekodi ya dunia kwa kujenga round about ya kwanza baharini itayounganisha barabara zake zote zinazopita chini ya maji, itapunguza muda wa kusafiri kutoka dakika 74 hadi dakika 16 tu, imejengwa miaka mitatu #MillardAyoAMAZING
TAARIFA: Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa), imezungumzia matengenezo ya Mtambo wa Ruvu Chini yatakayofanyika leo Jumapili kusababisha baadhi ya maeneo kukosa maji #MwanaHALISIDigital
#ETHIOPIA YAAGIZA MAAFISA WA JUU ZAIDI YA 40 KUKAMATWA
- Polisi nchini humo wametoa hati ya kukamatwa kwa zaidi ya Maafisa 40 wakiwemo waliotumikia Jeshi zamani, wakihusishwa na mapigano ya #Tigray
- Wanatuhumiwa kwa uhaini na utekaji nyara
Soma https://t.co/jPQC1JyHXX
#JFLeo
Ukifanikiwa usibadilishe mwanamke bali mbadilishe maisha yake awe mwenye furaha zaidi,maana huyo ndo alikuvumilia wakati huna kitu hivyo anastahili kupewa kila kitu.