@izzytz@JamiiForums@MagufuliJP Raisi hajatoa kauli yoyote kuhusu ili swala, jitahidi kuwa mfuatiliaji usiangalie STATUS za whatsap..tu ulazani raisi ndo kaongea..ile video inayo tembea ni ya mmezi wa 5 kabla ili zoez halijaongezewa muda yani 31/12
@itaib786i@JamiiForums hakuna tamko lililontolewa kuzuia kufungwa kwa line za mitandao ya simu...kama lipo lioneshe..mm nadhani ni kwamba tunashindwa kuelewa matamko ya viongozi wetu.
#
@MarcoNy21379918@JamiiForums sio kweli, zoezi limeanza 2015, sema sisi watanzania ni wapuuzaji wa mambo. mpaka tusikie tunafungiwa laini leaho leo ndo tunakuka kuniandikisha na unataka upate namba siku hiyo hyo...NITATIZO ILO.