Nawaogopa sana watu ambao wakija kuomba ‘support’ lazima wawasagie wenzao.
Kwa nini usishinde mechi zako mdogo wangu? Tunaweza kukusaidia bila kumuumiza au kumpotezea mwingine.
“This is something I really need to prove/
Growth is life’s teaching, something we never teach the youth/
You dig!?, So, until the day i’m home, INSPIRATION in my music stay drippin’ hope you need the juice”
For More INSPIRATION #UtaratibuTheAlbum dropping on 27th September.
The man who prays then sits to wait for results has done nothing.
The man who prays then moves has obeyed the law of cosmic universe.
Every time you pray, your actions must reflect your words.
A spark alone is not fire, it must find friction.
Faith without work is fantasy.
Usipende kuomba ushauri kwenye kila maamuzi unayotaka kufanya kwenye maisha yako. Wakati mwingine fanya maamuzi mwenyewe, jenga kujiamini kuwa unaweza kufanya maamuzi sahihi. Na ikitokea umekosea, ndiyo kujifunza. Ishi na funzo, wakati mwingine hutokosea tena.