@MUNISHIFAUSTIN1@MariaSTsehai @kwanza_tv @TunduALissu@SuluhuSamia Me nadhani dhambi Za ujambazi wiz na mauwaji ya watu wasio na hatia sasa laana imeanza kuja kwako maana hakuna hata mmoja ambaye enda kwake kutubu kwny familia na kuomba msamaha kwa familia ambazo ulizisababishia umasikini kwa kuwauwa wapendwa wao, ndomana umechangnyikiwa akl
@HKigwangalla Mzee acha unafiki basi badilika ndo kusema wewe unatafuta kiki Za kuwa kiongozi bora kwa Mama samia Rais wa Tz, mbona wakati wa hayati Rais JPM hukuongea hayo?
Binafsi nasema hv anza wewe na familia yako kwanza hadi tuone imewasaidia tena ikiwa ni public.
@SuleimanNgassa@JohnMallya@halimamdee Acha ujinga kijana, sasa hivi wenye elimu ndo wanaotumia elimu yao vzr kwa kujiajili na sio kusubiri kuajiliwa tu kwa namna ujuavyo wewe, kumbe huwezi kumshauri jambo hata mwanao, kama huwezi kaibe uchomwe, yaani umekuwa mjinga kupindukia.
@JohnMallya@halimamdee Amkeni Vijana acheni uvivu wa kukaa bila kazi afu mnaanza kuisema serikali eti haitaki kuajili vijana, yaani watu wengine hadi kero, Fanya kazi wewe vinginevyo mtaolewa.