Wanangu Mchongo!
Anahitajika :- Tabibu wa kinywa na Meno(Dental Therapist)
Mshahara mzuri
Kituo cha kazi:-(Dar es salaam)
MOBILE:
0784288219
0679324986
NB: Tuma message ya kawaida au whatsapp tuu.
( Usipige simu Tafadhali.)
ππ¦·
@thereallizberth@bajabiri Sure ,Mtu Bright kama Hanspope ona yanatokea , hakuna hierarchy wala succesion plan ya kueleweka sasa imagine sisi wa utajiri wa Migodini inakuaje breadwinner akisepa ndio basi tena π
@kafir_nyau@Your2qh@MswatiKing_01 Sure ,Watu wanashindwa kutofautisha Hata Jemedari na Edo wako kundi tofauti ,Jemedari yupo kundi moja na Ricardo Momo pamoja na Oscar Oscar ( FT Politics ) ,Analyst ni kina George ambangile , Ali kamwe na Amri Kiemba etc
@iamNehemia Hakuna guarantee ukivumilia jambo mambo mbele yatakua sawa ,ukimvumilia mtu anakuchoma na sindano kesho akikuchoma na kisu usilalamike , Seniors sometimes wamenormalize kuteseka kwa msamiati wa kuvumilia na nidhamu , Fanya kazi kwa bidii ,kuwa na nidhamu ila usivumilie dharau.
@Skinny36479503@ItsKamala Sio tu Mabati ,Sekta Nyingi ndo zilivyo hivi sasa ,unategemea vipi mzunguko wa hela kama hakuna Fair ground kwa Mzawa ? Hawa waje wajenge viwanda ,ajira zitengenezwe na walipe kodi waache janjajanja.
@Isayadicksonjr Halafu unaletewa beki la manchester united πHali ni ngumu watu hawana hata utu kidogo ,Wakiwa jukwaani utasikia mimi nimepitia shida kwenye ukuaji kama vile ni sifa ili uwakomeshe wengine wateseke.
@FaradayMtz01 Kajenga viwanda vingapi ukilinganisha na Nyerere?
Kajenga ushirikiano gani kwa raia vs JKN?
JKN alianzisha ranch za taifa pamoja na breed maalum kwa Tz kama Mpwapwa breed.
Tumkosoea Nyerere kwa alipofeli bila kumdogosha.
@ChachaWegelo@ProLearner77 Aah ila Specialized na Taasisi wanalipa tofauti ,Mwezi huu BMH wametoa ajira za Mkataba na wamesema Malipo ni According to BMH salary Policy kimbembe ni huko RRH na RH.