@kasesco_tz kwa mujibu wa bible ilikua radhima mwanaume kutest kama mwanamke ni bikra kwa kuitoa ndio aolewe sasa ilikuaje maria ambae aliolewa na yusf kubaki bikra ikiwa aliolewa Kumb 22:13-mwisho
@99Zaburi kwamba graduate wa samora ni bora kuliko na iran au bongo kuna elimu tofauti na hizi za kwetu tunaagiza kila kitu tumeshindwa kuunda ata toothpick tuna import ndo tukue na elimu bora kuzina Ballistic Na Dron za Iran