@Jambotv_ CUCA, SMARTGIN, DOUBLE CICK, TOTO PAK, I see vijana wanavikung'uta mtaani ile mbaya. Mbaya zaidi vinauza ata kwenye maduka ya kawaida. Ukienda mikoani ndio hatari zaidi .
@Jambotv_ Anaota huyo , ukijua kwanini tukifeli kutumia umeme kama nishati nzuri ya kupikia ,na hadi sasa majiko ya umeme yanajikuta yanapoteza umaarufu ,basi ndio tunapopata shida na hii gesi, isitegemee hilo .
@fatma_karume Hakuna wakati mgumu alionao @fatma_karume kama alionao sasa ,yaani ameshindwa kuelewa wapi asimame ,Chadema alikopewa jina la shangazi anakutaka ,wakati huo huo anajikuta ana confrict of interest, yaani anajikuta yupo kwenye dilema of highest level.
@JoseSpend @millardayo Matuta si suluhu mbaya sana ,matuta yanatufundisha kuwa madereva hawataki kuheshimu sheria, hadi wawekewe trafic wa kudumu barabarani ,ni aibu sana pale unapoona kibao cha 50, alafu unaona mji unashindwa kuheshimu , yaani hiyo ni Tanzania tu .
@fatma_karume Msomi wetu huyu siasa tu inamsumbua, sasa ukisema kuna watu wanastahili hili ndio umetoa amri afe?,
Unadhani watu hawawezi kutumia huo mwanya wakafanya yao?, tunajua mbinu chafu nyingi sana zilizofanywa kwa ushirikiano kati ya watu wa upinzani na baadhi ya wanaCCM.
@KibwanaEdgar Tulijua hilo hao wachawi wanawaza kurogwa tu muda wote kwa sababu nao wanaroga, walizoea kuuchezea uwanja wa mkapa, sasa wanapata tabu sana baada ya kufungwa, wanauogopa uwanja wa azam kuhofia kurogwa tu, sasa na hao simba queens muwapeleke huko
@YerickoNyerereT@bashehussein Hatukatai yeye ni waziri ,lakini uwaziri wake umetokana na nini?, ni chama wala hakuwa mgombea binafsi, viongozi wa chama wanaweza kuhoji, anapaswa kutoa maelezo, hakuna anaempangia ila anaweza kutoa ufafanuzi, kama ufafanuzi wake hauna tija,chama kinaweza kuhitaji marekebisho.
@mwigulunchemba1 Kwani akiba tulioanza kuweka toka awamu ya tano imeisha muheshimiwa?, haya mambo ni mambo ambayo sio ya kujadili kipindi hiki,sisi tulitaka tu kusikia kwenye akiba ya serikali kuna tani ngapi?, na sio tuna mipango ya kuanza kununua
@halimamdee Nilichobaini hapa kuna gap kubwa sana kati ya wafuasi wa chama hiki na viongozi ,ndio maana wafuasi wengi wamekuwa kama mazuzu, ukiwatwist kidogo tu wanakuwa kama walevi vile .
@Jambotv_ Kuna haja ya kuangalia upya sheria zetu ,mtu anapatikana na hatia ya ufisadi wa mabilioni anaweza kulipa faini ya milion 5 au 10 , lakini huyu kukutwa na nyama ya swala ,anafungwa miaka 22 , nyama ina thamani ya shs laki 9, kweli?, Mimi huwa sielewi watunga sheria wetu kabisa.