Sifanyi mitoko bado nipo soko na machizi
Nilificha books wakati mnaficha mkongo na zigi
Ki-design nimechoka questions
Niko busy sina time ya kungoja sessions
Wasanii wako soft soft sana
Wanakoroga ka' wakongo boziboziana
#TopShelf@dizastavina
@PanAuthentik@dizastavina Maji ya meshamwagika nani wa kunifundisha lugha?
Niseme kwa nani ama nani wa kuunganisha nyufa? Nani wa kuujuza umma kuwa nami najuta nafsi? Nani asimamishe siku kisha akaurudisha muda?
Nani?
Taarifa.
Ninayo furaha kutambulisha rasmi jarada la Album ya tatu ya Dizasta Vina itakayoitwa A FATHER FIGURE.
Album hii yenye jumla ya nyimbo 20 itatoka rasmi tarehe 06.01.2024
Sambaza Habari. #AffAlbum
Taarifa.
Album mpya kutoka kwa Dizasta Vina @dizastavina itakayoitwa “A FATHER FIGURE” itatoka rasmi tarehe 06.01.2024 na itakuwa na jumla ya nyimbo 20.
Sambaza Habari. #AffAlbum#DZSTVN