@EduTalkTz@K255Leo Unamuamini Mungu yupi huna akili wewe, anza kutuonesha huo mfano wa kuingia wewe barabarani kwanza. Jana ulikuwa unasema Rais ndiyo amemuuwa leo unamuhusisha Mungu na mambo ya kijinga. Huna akili kabisa takataka wewe
@MariaSTsehai@edward_mil4776@SuluhuSamia Kwa hiyo kama mtu alitekwa akiwa kwenye bus, Rais wa nchi ndiyo ametoa hiyo amri ya kutekwa kwake ....???
Unajiita mwana-harakati kwa kuongea ujinga kama huu ๐ฎ๐ฎ
@EduTalkTz@SuluhuSamia Hivi ukiambiwa ulete ushahidi wa ulichokisema utaweza ...??? Sometimes punguza kuropoka. Rais wa nchi afanye mauji kwa raia wake for what purpose ...???
@SalimMamboleo@amrisaly Kwa hiyo kusema alikatisha masomo yake na kufanya alichokiamini yeye kwa wakati huo wewe imekuwa nongwa kwako ....???
Tafuta hela acha makasiriko ya ajabu dogo