@Thommunkondya Hakuna mtu mwenye akili pale CCM kama Heche hata huyu taahira mwenye Low IQ Samia Kumalamamako mara Elfu kumi koma kumtaja Heche sio sazi yako
Leo #MariaSpaces tunajadili: 7/7 Maandamano - Dunia imesimama nasi, tumejipangaje kujipambania?
Tumeona Senate ya Marekani na Bunge la Ulaya wakichukua hatua za kisheria kukemea serikali haramu kupitia vikwazo
Ila hakuna wakuja kutukomboa! Tumejipangaje? Leo saa 2 uck!
Hasa kama mtu huyo akiwa Mwanachama au kiongozi wa Chadema.
Imeshakuwa "Banana republic" hakuna kufuata katiba na sheria. Wanaapa kutekeleza protocol na sio kujifunga ktk kutekeleza viapo vyao.
Utawala unaokandamiza wakosoaji. Wanakataa mchakato wa katiba lakini wanajiacha tupu.
We commend Senators @SenatorShaheen and @SenTedCruz for their leadership in advancing S.4577 through the Senate Foreign Relations Committee.
This bipartisan bill sends a clear message that human rights violations, election rigging, abductions, killings of innocent civilians during Tanzania’s October 2025 sham elections, and the suppression of religious freedom cannot go unanswered.
Accountability must be at the center of U.S.-Tanzania relations.
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #FreeTunduLissu #HumanRights #Tanzania #ReligiousFreedom
@Getrude_mollel Tatizo huna Marinda wauaji mmekabwa Koo na Kisasi kitalipwa mtakuja kuonja.maumivu kama mlivyoua ndugu zetu kumamazenu ma CCM wote na Muuaji wenu mkuu Samia
MAANDIKO YANASEMA...TUTAWAGUNDUA KWA VINYWA NA MATENDO YAO.
Natamani iwe kama Usajili ili tusajili Wabunge hawa wawe ndani ya Bunge letu na taasisi zenye dhamana ya kulinda Utu na Uhai wetu. Taifa letu lilisifika kama nchi ya Mstari wa Mbele katika ukombozi wa Afrika tukihubiri haki na uhuru wa Kujitawala.
Ni huzuni sana kwamba kwasasa Taifa letu limepoteza tunu zote na tunawekeza katika Chuki,Ulaghai,vitisho na kutowajibika.
Hapa Bunge la Ulaya limechukua jukumu la vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni aibu lakini ni bora na hakuna ubaya Baba wa jirani anapoingilia kunusuru familia iliyotelekezwa na Baba asiye jali.
Rafiki wa kweli ni yule akufaaye wakati wa dhiki.Hawa ni Marafiki haswa wa demokrasia na Utawala bora.
Tumechelewa sana ila muda bado upo Tujisahihishe kwa kufanya linalohitajika.
UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI ndiyo njia ya kweli na Sahihi ya kuliponya Taifa.
BAK Mwabukusi.
ADVOCATE.
Juzi gazeti la @MwananchiNews na @TheCitizenTz pamoja na ITV waliandika habari za uwongo kwamba Marekani yaondoa vikwazo dhidi ya Tanzania nawengine wakaandika Marekani yalegeza msimamo dhidi ya Tanzania.
Tuliwambia Propaganda za kitoto haziwezi kuwasaidia chochote haya sasa leo mambo yote hadharani.
Hakuna kilicholegezwa wala kuondolewa yani Bendera chuma, mlingoti chuma yani huu ni mwanzo tu.
🇪🇺 Bunge la Ulaya lapinga mpango wa kutoa msaada wa Euro milioni 156 (takribani TZS bilioni 484) kwa Tanzania mwaka 2026.
“Who are you” wanaendelea kujitambulisha wao ni wakina nani.
Mwaga moto mwingi wanangu kama madragon.🔥🔥🔥
REPOST 200
Tanzania police arrest Samia Suluhu and Mwigulu - they have bankrupted the govt of Tanzania over the past 5 years! They need to explain themselves to the next incoming govt of the People, by the People, for the People
Hawa wawili Samia na Mwigulu wamefilisi nchi tokea 2021 na itabidi watueleze vizuri pesa wamezipeleka wapi!
Mtanielewa kama bado
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
‼️TAHADHARI NA USHAURI ‼️Muswada wa Marekani ni wa kusoma vizuri - imeeleza kuhusika kwa jeshi la wananchi katika mauaj ya Oktoba 2025i! Sasa huyu Meja Jeneral Feruzi nimetajiwa mara kadhaa na watu tena wa huko huko ndani kwenu na hadi picha nimetumiwa! Anatuhumiwa kuhusika kuongoza operesheni ya mauaji Mbeya hadi Tunduma huko! Tuhuma nzito sana hii na si ya kupuuza!
Itakuwa fedheha kubwa kwa jeshi zima kuchafuliwa na kutuhumiwa huko ICC na kwingine duniani kwa sababu ya wachache - so ushauri wangu ni kuendesha uchunguzi wenu wenyewe ili yale ya Oktoba yasijirudie 7/7!
Msione haya kuwashughulikia na kuwachukulia hatua walioshindwa kusimamia viapo vyao vya kulinda wananchi!
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #FreeTunduLissu #TutaelewanaTu
BRUSSELS AND WASHINGTON ARE STARTING TO SPEAK THE SAME LANGUAGE
The Issue Is Not Money. It Is Tanzania Being Written Into the Official Record.
By Amani K. Mrope | Washington Bureau
There are times when a country loses money. And there are times when a country loses confidence.
Money can return. Confidence is much harder to recover.
On June 17, the U.S. Senate Foreign Relations Committee advanced S.4577, legislation calling for a reassessment of the relationship between the United States and Tanzania and establishing a process to identify officials linked to repression and serious human rights abuses.
One day later, on June 18, the European Parliament adopted a resolution calling on the European Commission to withdraw its proposed €156 million assistance package for Tanzania.
Two days.
Two continents.
One conclusion.
Two different institutions.
Two different political systems.
But one message.
Tanzania is entering a zone of concern.
For years, governments could dismiss criticism from activists, journalists, opposition parties, and human rights organizations as routine political noise.
That is becoming more difficult.
The conversation has moved.
It is no longer confined to social media.
It is no longer confined to political rallies.
It has entered institutions. And institutions have longer memories than politicians.
Brussels is writing resolutions.
Washington is writing legislation.
The European Parliament is raising questions about the 2025 election, the deaths that followed, disappearances, and accountability.
And it is not doing so in the abstract.
Its resolution is based on concrete developments, including Tanzania’s refusal to receive a delegation from the European Parliament’s Subcommittee on Human Rights and the continued detention of opposition leader Tundu Lissu for more than a year.
Washington, meanwhile, is preparing to implement Section 5 of S.4577, which requires the U.S. government to prepare an official report identifying senior officials associated with allegations of serious human rights abuses.
That is not an activist report.
That is not a newspaper editorial.
Those are official documents of the United States Government.
At first glance, these may appear to be separate events.
They are not.
They are symptoms of the same development. Tanzania is being reassessed.
The greatest risk is not the loss of €156 million. Nor is it the possibility of visa restrictions.
The greatest risk is a change in perception.
Once a country begins to be viewed as a partner with governance concerns, the effects appear in places most citizens never see.
Investment committees.
Banks.
Lending institutions.
Insurance companies.
Development agencies.
Corporate boardrooms.
Investor conferences.
The question begins to change.
Instead of asking: “What opportunities does Tanzania offer?” People begin asking:
“What risks does Tanzania present?”
And once that question starts appearing repeatedly, the cost of doing business begins to rise.
Investment becomes harder to secure.
Credit becomes more expensive.
Projects move more slowly.
Some investors choose other destinations.
This is why countries work so hard to avoid reaching this stage.
Because reputation is easy to lose.And extremely difficult to rebuild.
What makes this moment even more significant is that the United States and Europe did not arrive at these conclusions together.
Each arrived there independently.
Yet both arrived at the same place.
That is the message Dodoma should read carefully.
The United States has not said it wants to end its relationship with Tanzania.
Europe has not said it wants to punish the Tanzanian people.
Quite the opposite.
The European Parliament did not call for the complete termination of assistance. It argued that support should be directed through independent channels and civil society rather than through government structures.
Both sides have left the door open.
But they are asking the same questions.
A powerful finding in the U.S. Senate’s Tanzania bill:
“The Tanzanian Police and Tanzania Defense Forces killed hundreds of Tanzanian citizens” during protests against the “fraudulent and illegitimate” October 29, 2025 election.
Those are the findings of a U.S. Senate bill—not activists.
Thank you, Senators @SenatorShaheen and @SenTedCruz.
#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu
Gerson, nikusaidie kitu. Uongo (mnao uiita ufafanuzi) mlioupeleka kwa maseneta na wabunge wa Ulaya umekataliwa.
Thabit Shombo alikuwepo Washington, DC wiki hii. Amekataliwa na kaambiwa mtawajibika.
Tatizo lenu mnadhani Watanzania wa leo nj wa miaka ya 90.
Fukuzeni kazi Kabudi, anawaingiza chaka.
#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu