MORNING STORY ๐ค
THEMES ni Nyingi Mno.
CHUKI, MAPENZI YA LISHANGZI, URAFIKI MBAYA, POMBE, MIHANGAIKO, KAZI, UNAFIKI
CHUKUA MUDA WAKO USOME:
1/3 Ni ndefu
Umewahi kusikia sehemu ambayo watu hawafi hovyo hovyoโ ๏ธ
Okinawa Japani ndio sehemu pekee...
Ina watu wengi wenye umri zaidi ya 100 kuliko kawaida.
Je, unajua kwanini?
Hizi hapa siri 9 za Wajapan kuishi muda mrefu ambazo hata wewe unaweza ziishi.
Repost Iwasadie Wengi ๐ซก
1. Kula chakula badalaya bidhaa:
Dunia nyingine imejikita kwenye utandawazi.
Wanakula vyakula vya viwanda.
Wajapan utaratibu wa ulaji mzuri sana.
Wanakula kidogo sana. Tumbo lisijae kwa zaidi ya 80%
Wanakula vyakula vya baharini โ samaki.
Wanakula mbogamboga na vyakula vya kulima wao.
Hawali vyakula vya kusindika na kuchakata,
Hawali sukari. Hawatumii sana chumvi.
2. Ishi kwa kusudi.
Binadamu inafaa uwe na kusudi la maisha.
Lazima ujiulize kila siku kwanini unaamka kwenda kufanya unachofanya.
Haya ndio maisha ya Wajapan.
Huu mchoro unaonesha kuwa, KUSUDI lako liwe na mambo kadhaa:
Fanya unachokipenda,
Fanya kile uko vizuri zaidi,
Fanya kile kitakupa pesa,
Fanya watu wanachokihitaji,
Kusudi lako likiwa na haya mambo 4. Kwanini usiishi kwa furaha na Amani.
3. Kuwa active na daima usisitaafu.
Wanaostaafu ni wale wanafanya kazi.
Kama unafanya unachokipenda,
unaanzaje kukiacha.
Unapofanya kazi rahisisha maisha.
Usiwe busy for nothing.
Fanya kile kitu kila siku utatamani kukifanya bila kuchoka.
4. Ili kufanikiwa kwenye kile kitu unachokifanya hakikisha unakuwa na FLOW.
Flow ni mwendelezo wa kufanya kitu bila kuchoka
Kufanya kitu bila kuwa distracted.
Uwezo wa kufocus na jambo lako kadri unavyotaka.
Ukikipenda kitu unachofanya sio rahisi kuwa distracted na mambo ya kupita.
5. Maisha ni safari โ Nenda taratibu.
Vijana tunapenda sana matokeo ya chap.
No, that is not the way.
Wao wanasema โwalking slowly is better than not walking at all.โ
Bora hatua, iwe ndogo โ Cha muhimu progress.
Fanya kwa sehemu yako na uwe na Amani.
Maisha sio vita.
Ukielewa vizuri point hii, basi hautokuja tena kukata tamaa kizembe.
6. Ishi wakati uliopo.
Wajapan wanaembrace sana utulivu wa kiakili.
Shida kubwa watu wanaishi jana na kesho โ ishi leo na hakuna depression itakupata.
Stress ni zao la kuwaza zaidi ya jana au kesho.
Ukiwa kazini, fanya kazi. Ukiwa matembezini, enjoy. Usiwaze yasiyokuwepo hapo.
Usiwe kwenye burdani wewe bado unawaza kazi tu.
Kila siku enjoy, kama hautakuja kuiona tena.
7. Amini Utafanikiwa โ Kuwa optimistic.
Wakati mwingi huwa tunajiumiza sana kwa kuwaza kufeli tu.
Wazee wa Okinawa wanaeleza vile wanaishi kwa kujiachia na kufurahia maisha.
Punguza hofu, amini Mungu tanyoosha njia.
Yako ni kukimbiza ndoto zako tu. Mengine mwachie Allah.
Stress ni chanzo kikubwa sana cha magonjwa mengi.
Alawys have faith โ Itakuwa poa.
8. Hakikisha mwili unakuwa kwenye movement.
Sio lazima uende gym au jogging.
Kuwa na kawaida ya kutembea.
Cha msingi usikae kizembe โ always be moving.
Ama upo ofisini kuwa na meza ya kuadjust โ Kukaa na kusimama.
Tengeneza garden, cheza mziki.
Una gari. Paki mbali, tembea kila unavyoweza.
9. Kupumzika vya kutosha.
Lala muda wa kutosha. Mwili unahitaji kuchaj batteries.
Usingizi unafanya mwili usikongoroke na kuzeeka haraka.
Kadri umri unavyoenda mwili unachoka wenyewe.
Na usingizi ni therapy tosha wa kuupa mwili afya na uzima.
Lala โ Magonjwa mengine yanakutaka ulale na upumzike tu.
IKIGAI ISHI NDOTO YAKO.
Kujifunza zaidi:
FOLLOW ME: @millambo_
Join our Telegram Channel:
https://t.co/oDLpBYireS
#SIKU100ZAUHURU
Hawa wadogo zangu ndo husambaza dagaa na samaki zangu Darโค๏ธ๐
Mwenye nyeupe huwa anafanya delivery ya samaki Dar na mwenye pensi huwa yupo dukani anauza dagaa Sinza mori j3 - jโmos
@Doctor_Ruthy@paulrightness
MUDA WAKO NDIO KIPIMO CHA MAISHA YAKO ๐ค
Sekunde ikipita, ndo nitolee!
Kuna vitu vingi duniani unaweza kuvichezea na kusiwe na shida.
Chezea mali utatafuta na kuchuma zingine.
Chezea pesa, utazisaka na kuzipata zingine.
Kuna kitu kinaitwa MUDA.
Huu baba, hauchezeki.
Ukipita, umepita.
REPOST.
Muda ni kipimo cha maisha yako.
Mali unaweza kuchuma kadri unavyoweza na usifikie viwango fulani.
Unaweza ukachuma pesa nyingi tu, lakini bado unaweza ongeza.
Kwa bahati mbaya muda huwa unaisha na haurudi nyuma.
Unapozaliwa unapewa kiwango cha muda.
Unapewa kipimo cha saa 24, siku 7, miezi 12.
Na unakuwa na muda wako maalum wa kuutumia muda wako na kusepa.
Ndio maana kila unaposherekea birthday, basi ni muhimu kukumbuka kuwa umepoteza mwaka mmoja na umesogea zaidi kwenye kifo chako.
Unaweza kula kwa afya na kufanya mazoezi na kufanya uishi muda mrefu zaidi.
Lakini bado utakuwa kwenye kipimo chako kile kile.
Muda hauongezeki.
Muda ukipita umepita.
Muda sio pesa utaenda kopa.
Muda sio mali utapoteza na kurudisha.
Hebu angalia ukiwa barabarani, sek 1 inatosha kukuweka mtaroni na kusahaulika kabisa.
Kila sekunde inayopita kuna watu wanajenga maisha yao na wengine wanayabomoa.
Kwa bahati mbaya masikini huona wako na muda wa kutosha kuchezea.
Anaweza kufanya chochote na muda akijua yuko nao mwingi sana.
Kwa matajiri stori ni tofauti kabisa.
Kila muda una maana yake.
Pesa inatafutwa zaidi ili kuweza kulipia muda wa kuwa huru na kuenjoy maisha.
Kadri unavyokuwa na muda mwingi wa kula maisha, maana yake kuna gharama kubwa umelipia kwenye utafutaji.
Ni rahisi kwa wengi kukupatia kiasi cha pesa,
Kwa sababu hakina thamani sana.
Kwa mtu aliye busy muda ndio asset ngumu sana kuweza kukupatia.
Ndio maana waliofanikiwa hutoza mamilioni ya sh. Kwa muda kiduchu tu wa huduma zao.
Kuna wakati hata appointmnt unaweza usipate.
Utapeli mkubwa zaidi unaweza kujifanyia ni kutumia muda wako vibaya ilihali ukijua sekunde ikidondoka, ndo imetoka hiyo.
Yaani kadri unvyoiona saa iki-tick ndiyo muda wako unazidi kuisha store.
Sijui unaipata hii vzuri?
Uwe ni tajri au masikini.
Muda tunapewa sawa.
Kazi kwako kuamua utakavyoutumia.
Kila mtu anajua jinsi anavyothaminisha muda wake.
Ndio maana kuna watu kuwaona ni bure tu.
Na kuna watu kuwaona lazima ulipe pesa mingi.
Kwa sababu muda wao ni ghali zaidi kulingana na walivyojithaminisha.
Asiyethamani muda:
-Atalalamika siku zote
-Atasubiri serikali ije imkomboe
-Atabet akitegemea kutajirika
-Atashinda vijiweni kupiga stori
-Atashindana ubishi na wana kijiweni
-Atashinda akiangalia muvi
-Atashinda akicheza magemu ya FIFA
-Atashuhudia gemu zote za mpira
-Mtandaoni yeye ndio kinara wa mijadala
-Mteja mzuri wa Mange
Wakati huo kuna mtu:
-Anasoma vitabu kila siku
-Anajifunza ujuzi kila siku
-Halalamiki wa kulaumu
-Anakula kwa fya
-Anafanya mazoezi
-Kila siku anapandisha thamani yake
-Kila siku anazalisha thamani kwa wengine
-kila siku anakutana na marafiki wapya
-kila siku anajenga ndoto yake
-Anatambua kila linalotokea ni kwa sababu yake
Utajiri na ufukara umetengwa na msitari hafifu sana.
Tofauti kubwa imefichwa kwenye namna wanavyothaminisha na kutumia muda.
Ukiutumia muda wako ipasavyo, utazaa matunda.
Ukiutumia muda wako vibaya, hakuna rangi utaacha kuona.
Maiash ni mchezo wa machaguo.
Kile unachoamua kuchagua na kuwa ndicho kinatokea kwenye maisha yako.
Ukichagua kuwa mbinafsi wa muda wako, basi umetambua siri ya maisha.
Siri ya mafanikio iko kwenye machaguo ya maisha.
Ukichagua kuwa mshindi, utakuwa mshindi.
Ukichagua kuwa msindikizaji, utasindikiza kweli.
Usikubali kutumia muda wako vibaya.
Usikubali kutumia rasilimali yako ambayo kila siku inasisha na huwezi kuirudisha.
NB:
Kuwa na busara.
Kuwa mbinafsi kwenye muda wako.
Kadri muda wako inavyokuwa ghali,
ndivyo ukwasi unazidi kukutembelea.
Ndivyo unavyolipwa zaidi.
Poteza pesa, utapata nyingine.
Poteza mali utapata nyingine.
UKIPOTEZA MUDA, HIYO IMETOKA
Repost Iwafikie Wengi!
#SIKU100ZAUHURU
Kujifunza zaidi karibu kwenye jamii yetu, Telegram.
Link: https://t.co/oDLpBYireS
#Tutoboewote
0754087177
SIKU 100 ZA KUANDIKA HISTORIA MPYA YA MAISHA YAKO... ๐ซก
Kuanzia Kesho, Tar 01-03-2024 Utaenda Kuandika Historia ya Maisha Yako.
Labda uchague mwenyewe kubaki hivyo.
Repost Iwafikie Wana ๐
Mafanikio ni siri kubwa.
Kwa bahati mbaya,
Wengi huwa hawasemi ukweli walipita wapi.
Kinachoonekana nje ni matukio tu ya spending.
Unachokiona ni cheche za mafanikio.
Wengi hampati kujua nini walipitia kuweza kutoboa.
Hizi siku za 100, ni mfano wa kile utakachopitia ili kuweza kuishi ndoto yako.
Je, unatamani:
-Kujenga nidhamu ya maisha ya kubadili maisha yako?
-Kuanzisha biashara mpya na hujui pa kuanzia?
-Kuacha porn na punyeto ili kuwa mwanaume?
-Kuanza kufanya mazoezi na kusihi kwa afya?
-Unatamani kubadili historia ya maisha yako?
-Kuacha kuahirisha mambo na kijisimamia?
-Kujifunza ujuzi mpya na hujui pa kuanzia?
-Kuanza kuishi kwa kusudi na malengo?
-Kuacha soda na energy na breakfast?
-Kuacha kuangalia TV, bange, pombe?
Sitokuahidi kuwa utafanikiwa...
Lakini ninaamini hizi siku 100, zitakuwa ni miezi 3 ambayo utaikumbuka daima maishani mwako.
Ni miezi 3 ambayo itakuwa ni sehemu muhimu ya kujenga nidhamu itakayoenda kulipa maisha yako yote.
Ni miezi 3 ambayo utafanya yale uliyoogopa kitambo, ni miezi ya kuishi ndoto yako uliyoiishi tu ndotoni.
Sasa ni wakati wa kufanya kwa vitendoโฆ
Uwanja ni wako.
Hakuna kisingizio.
Wewe ni kuactivate tu mode.
MIMI Millambo nipo hapa kuongoza usukani huu kwa siku 100.
Ni Siku 100 zitakazokuacha na nguzo ya:
-Afya
-Ujuzi
-Pesa
-Fitness
-Mafanikio
-Connections
-Kila unachokitamani kwenye maisha haya
Kwa bahati nzuri ni kuwa hulipi hata 100.
Na tena, huna cha kupoteza kwenye challenge hii.
Zaidi ya kufaidika, huna hasara yoyote ile.
Imagine kuanza kujifunza ujuzi mpya utakaokufanya mtu muhimu na wa maana zaidi kwenye maisha YAKO.
Yaani, imagine zile ndoto zako kuanza kuziishi kikamilifu.
Unatamani kuwa blogger, now is the time.
Unatamani kuwa copywriter, now is the time.
Unatakani kujenga biashara, now is the time.
Unatamani kuwa mwanaume kweli, now is the time.
Unatamani kutoka nje na kuwa influence kwa watu, now is the time.
Hizi ni siku 100 ambazo ukiishi kwa 95%,
nakuhakikishia kuwa utakuwa ni story mpya kwako, marafiki na nduguzo.
Just Do It.
Just Give It a Try.
You will Never Regret It.
M W O N G O Z Oโฆ
A.Challenge yetu itakuwa kwenye phases 3:
1.Phase 1: The Teaser
2.Phase 2: The Hustle
3.Phase 3: The Life
Phase zote zitakuwa na siku 33.
B.Tutafanya challenge kwa siku 100, lakini ndani yake tutakuwa na phases 3.
C.Kila baada ya phase ni muhimu kungalia tulipotoka na kujipima.
D.Challenge yetu ina mambo makuu 6:
MAMBO-LAZIMA-KILA-SIKU:
1-Meditate kila siku kwa dakika 15
2-Fanya mazoezi kila siku kwa dakika 30
3-Soma kitabu kila siku kwa dakika 40
4-No sugar, soda, energy, pombe, breakfast
5-Jifunze ujuzi wa 1 wa thamani kila siku (kwa siku 100)
6-Acha tabia 2, na panda tabia mpya 2 kila siku (kwa siku 100)
โฆKila siku lazima utimize mambo yote 6.
โฆ Ukifeli kutimiza chini ya mambo 4 UNAANZA UPYA Challenge yako.
โฆ Kila siku unatakiwa kufanya yote 6 kikamilifu
โฆ Ukishindwa sana basi sio chini ya mambo 4 (Lazima utimize)
E.Weka Malengo kuhusiana na Ujuzi wa kujifunza na Tabia za kuacha.
โฆ Mf: Najifunza copywrting kwa miezi 3 ili kubadili maisha yangu.
โฆ Mf: Naacha kunywa pombe na kula bange kwa miezi 3 ili kujenga afya yangu.
โฆ Mf: Naanzisha biashara ya kuuza chakula ndani ya siku 90.
F.Mambo mengine (4) fata masharti ya challenge kama yalivyo... Strictly!
G.Kila siku jioni jitathimini na uone performance yako:
โฆ Ukiwa 6/6 - hongera
โฆ Ukiwa 4/6 - bahati yako
โฆ Ukiwa chini ya 4/6 - U N A R U D I A.
H.Kila baada ya siku 7, fanya tathimini ya maendeleo yako. Itakupa motisha zaidi.
โฆ Ili ujue pa kuweka mkazo na pa kuongeza nguvu.
I.Baada ya phase 1, kila baada ya siku 33 (phase), Fanya tathimini ya maendeleo yako.
J.Baada ya Siku 100 Njoo Hapa Tupe Ushuhuda.
Tafiti zinaonesha kuwa:
Unahitaji siku 60 pekee kuifanya tabia kuwa automatic, imagine unazo siku 100.
The power of consistence...
Unajua unachoweza kuachieve ndani ya huu muda?
Ni wewe tu.
Sasa kazi kwako.
Kubadili maisha yako ndani ya siku 100.
Au kubaki hapo ulipo na kuendelea kulalamika.
#SIKU100ZAUHURU ni maalum kwa wote:
-wanaotamani kufanya kitu na hawajui pa kuanzia
-Waotamani kujifunza kitu na hawajui pa kuanzia
-Wanaotamani kuacha vitu na hawajui pa kuanzia
-Wanaotmani kuishi ndoto zao na hawajui pa kuanzia
Ni maalum kwa wote wanaotamani kuishi maisha ya ndoto zao.
MUDA: March 01 โ June 08.
Tukutane kwenye #SIKU100ZAUHURU
#INAWEZEKANA
Ikushiriki niambie โAm Inโ
Jiunge na telegram yetu ili kushiriki challenge kikamilifu.
Link: https://t.co/oDLpBYireS
#Tutoboewote
0754087177
Kwa wanaume wa thamani tu๐ง
Kama umefikisha miaka 20,
Hizi hapa sheria 24 za kiume kukufanya bora zaidi:
Repost Wengi Wajifunze ๐ซก
1. Ogopa na kaa mbali na mwanamke wa ndugu yako.
2. Usimdharau usiyemjua. Chunga sana.
3. Kama bado unajitafuta, usiwekeze kwenye mapenzi.
4. Kama bado unajitafuta, saidia kwa machale. Jijenge kwanza.
5. Wekeza zaidi kichwani kuliko unavyowekeza kwenye kazi yako ya kuajiriwa.
6. Usimwonee wivu yule unaetamani kuwa kama yeye.
7. Usiwe mtu wa kuamua kwa hulka na hisia. Think.
8. Jitenge na porn na punyeto. Zinakunajisi.
9. Epuka raha nyepesi (sex and material wealth).
10. Jitahihidi kufanya jambo ukiwa na hisia na mzuka wa juu sana. Utafanikiwa.
11. Usiwahi kumpiga mwanamke. Acha kua dhaifu.
12. Kwa gharama yoyote epuka energy vampires.
13. Ukilazimika kuwa kwenye mahusiano, tafuta mwanamke ambaye ni emotional independent.
14. Nenda gym. Jenga mwili wako. Mwanaume kuwa imara.
15. Daima sema unachomaanisha na ishi maneno yako.
16. Pesa iko kwenye kutatua changamoto.
17. Kwenye majadiliano, usikubali kuwa mtu wa kwanza kutoa ofa.
18. Zoea kukataliwa na kukosolewa. Inakukomaza.
19. Ukianza mahusiano mapya, kuwa real mpenzi wako akuzoe mapema.
20. Sifia hadharani, kosoa faraghani.
21. Usiwahi kuwa nice guy: kwenye maisha & mahusiano. Utatumika vibaya.
22. Akikuzingua. Sepa. Usijieleze sana. Usibembeleze sana. Kakomae.
23. Kwenye deals pambana usiamue kwa kutumia tumbo.
24. Epuka ugomvi na mwanamke yeyote. Itakusaidia.
Repost Wengi Wajifunze.
Ili kujifunza zaidi kwenye Bio Hacking, Personal Development na Expert Business:
FOLLOW ME: @millambo_
Join our Telegram Community:
https://t.co/oDLpBYireS
0754087177
#Jeshilam2m1
Mambo 5 nawahusia wanaume 2024
1. Ukitaka kuishi kwa amani kwenye ndoa hakikisha una kazi au mishe ya kukuingizia pesa kabla ndio unaoa
2. Usitegemee unavyowasaidia washkaji zako kwa hali na mali kwamba siku na wewe ukipata shida lazima wakusaidie utaumia sana ikae kichwani
3. Usishikishwe akili na watu tumia akili yako kuchanganua mambo kabla ya kuchukua hatua
4. Usiwe mchawi kwenye maisha ya watu haipendezi ukiona washkajinwamekupita its okey kuona wivu na kuumia sisi ni binadamu ila akili ni yako kuamua kupambana na wewe kufikia pale au kutulia na mishe zako lakini si kuanza kutafuta maneno watu
5. Tafuta mwanamke wako mmoja mpende sana wala usijikaze uonekane bandidu ndio akuogope ...u deserve kupenda mali yako surely upendo utarudi na heshima juu
6. Kama unatoka kwenye familia za kimaskini hakikisha unawaekea mazingira mazuri ya kuishi wazazi wako Mungu amekubariki ili uje kuwainua wengine
7. Hata maisha yawe magumu vipi hata upate aibu vipi usiwaze kujitoa uhai hakuna magumu yasio na mwisho kila binadamu ana historia yake si nzuri lakini amechagua kuishi na kusonga mbele kufanya yalio bora zaidi
8. Stress za maisha zisikufanye ujiingize kwenye ulevi, umalaya, ushirikina , matumizi ya madawa, kutukan watu na kupiga au kuua....kaa mbali na mitandao jitibu afya yako ya akili uwe salama
9. Usijiingize kwenye migogoro ya urithi au ardhi ...ni haki yako kupigania haki yako lakini unapoona mambo magumu unaweza kukaa pembeni wafaidi wao ukafanya maisha yako
10. Ukipatwa na wakati mgumu ongea na Mungu tafuta mahali palipotulia ongea na Mungu mueleze kila shaka unalopitia huwezi bila msaada wake akufungulie njia akusaidie usiumbuke na uwe na imani atatenda