Kampuni moja imejikuta matatani kwa kushiriki picha za watu bila ridhaa yao. Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) haiko tena kwenye majaribio; imeanza kutoa maamuzi yanayotekelezwa kama amri ya Mahakama Kuu.
Kifungu cha 13(3) cha CMP kinaruhusu nchi wanachama kuweka masharti maalum kwa misingi ya:
•Maslahi ya Umma
•Usalama wa Taifa
•Ulinzi wa sekta ndogo za kiuchumi
•Maendeleo ya ndani
Hatua ya Tanzania inalenga kulinda biashara ndogo ndogo, ambazo ni chanzo kikuu cha ajira.
3. Take care of your mental, physical, and spiritual health. That's the real foundation of success!
.
.
4. Life is hard for everyone. Nobody has it easy. Lower your expectations of people, and if necessary, distance yourself instead of becoming bitter.
You think you love someone until you're three months deep into their depressive episode, and they refuse to eat, wake up, shower, be productive, have no sexual appetite, and can't even show love.
Camerlengo katika kutendaji wake, unaweza kumfananisha na mnikulu wa Ikulu
Sasa nini hutokea Papa akifariki
1. Baada ya madaktari kueleza juu ya kifo cha Papa, Camerlengo huitwa kuthibitisha hilo
Camerlengo atamuita Papa mara tatu kwa jina alilochagua (Baptismal name)
Anko Ameniamsha Na Kusema
"Ng'ombe Anazaliwa Na Masikio Ila Pembe Zinakuja Ukubwani Hivyo Hata Wewe Unaweza Kupambana Na Upate Mapembe (Pesa) Ingawaje Ulizaliwa Hauna Kitu "
Anko Ananipa Madini Mengi Sana Huyu.
Kitu bora kuhusu hali mbaya maishani mwako ni kwamba una uwezo wa kuona tabia halisi za kila mtu Ili kuepuka kukatishwa tamaa, wachukulie watu jinsi walivyo na sio vile unavyotaka kuwa.
8. Before getting serious, discuss key topics like marriage, roles, and children. These are fundamental issues that can make or break a relationship. There's no point in each other's time if your views on these critical matters don't align, we're adults now.
7. It's ok to be silent for a bit to make sure the communication isn't an arguing match. It helps the conversation remain constructive and can help both parties cool down, refocus, and communicate more effectively. Sometimes, just cool off on the defensiveness.
Umewahi kukaa ukatafakari huu usemi...👇
Pesa haitafutwi.
Pesa inavutwa.
Pesa ni illusion.
Ukiitafuta hutaipata.
Badala yake, jibadili kuwa chombo cha thamani kitakachovuta pesa.
Hivyo badala ya kutafuta pesa, kuwa wa thamani kwenye maisha ya wengine.
NINAAMINI HAYA 💯