Kila Mwanaume kuna wakati unafika katika Maisha yake ambapo kelele za dunia hazina maana tena. ukimya unakuwa ndio ngao na kimbilio lake. Hapo ndipo anapotambua kuwa maisha hayahitaji mambo mengi ni Utulivu wa nafsi, Mwelekeo thabiti na kutembea na MUNGU tu.
@UlimwenguN74598@Maestrowafact Nani kasema Tena kwa jeshi hili ambalo wote wanaoingia kwa asilimia kubwa ni kuwa walikuwa hawana options nyingine kimaisha,Sahau kaka