Kinachosababisha umaskini wote tunakijua na mifano halisia tunayo, kinachosababisha utajiri ndo tatzo, kama giza na nuru, huoni giza mpaka liwepo, huoni nuru mpaka iangaze, mtu akikufundisha jinsi ya kuwa tajiri akiwa hana mali hawez kuwa relevant,
The Robusta version!
📈 Mpaka Machi 2025 Tanzania iliuza nje kahawa kiasi cha 66,566MT sawa asilimia 78.31 ya makadirio ya mauzo ya 85,000MT mwaka 2024/2025.
💰Mauzo hayo yameingiza fedha za kigeni jumla USD 307,289,917.04.
Kati ya kahawa hiyo Arabika ilikuwa 42,481.07MT na Robusta 24,085.36MT.
Pichani nikiwa shambani Kyerwa wilaya yenye uzalishaji wa juu wa Robusta nchini, vijana twende mashambani.
@WizaraKilimo@HusseinBashe@TagieDaisy@pkimaryo@mBongo@GMwangonda@MalemboLE@SpillingTheBean@coffeeboardtz
Bila shaka kwa mara nyingine kila mtu amejionea tamaduni, mila na desturi za Roma, hatuna cha zaidi kukufundisha ila ni ww ulieamua kuachana na Mila na tamaduni za kwenu labda ili uwe mtakatifu.
#NIPEMALIAUCTION#EASYMUNGU#BADOBUKU
@Roma_Mkatoliki Mfano wanaounga mkono no election baada ya uchaguzi ambao lazma utafanyika na serikali itaundwa, wao watafanya nini baada ya uchaguzi au wanasubir 2030 tena waseme no election?
Kukataa kuingia kwenye uchaguzi ni approach mbaya ambayo itakuondoa kwenye mapambano
Apa kwetu Africa watu hupinga na kuchukizwa na maovu lakini huwa wanawaabudu na kuwatukuza watenda maovu.
#Trying to think unthinkable.
#NIPEMALINIZOEE#EASYMUNGU
@mboni_sir@GillyBonnyTv Usisahau kumwomba aziangushe na Man U na team nyingine za ulaya ili ww uapate maendeleo na uweze kutumia akili yako kwa hayo mambo yenu mnayoyaita ya msingi