@Sativa255 S walisema walioandamana walikuwa wageni hata waliokufa walikuwa n wageni kwetu mimi napotoka nilfundishwa ukikosea omba msamaha mambo yaishe
Father KITIMA akili kubwa.
Haya anayoongea kila mtu mwenye akili timamu anajua ni maoni yenye mashiko kabisa. Ila watatumwa "TAKATAKA ZA MAMA" KUKOSOA.
Nao kwasababu wanatumika kama Condom Utawasikia walivyoweka bongo zao Mochwari kama maiti.
TUTAKUWEPO๐ซต๐
@Sirajitz1 Kwa kuangalia tu hii picha itakuwa n mikoa ya mpkan mwa kenya na tanzania kwanini nasema hivyo kuna hayo maziwa ya yogurt huwa yanatoka kenya n ngumu kuyakuta Dar ๐๐๐๐
@ChrisBennet_ Watz mtaacha Roho mbaya lin jamn hiv ndio viwanda tunataka hawa wapewe elimu maisha mengne yaendle why?? Kuwakamata so nyie mnataka watu waendle kuendesha boda jinga kabisa kazi ya boda ndio halali washenzi wote
@MariaSTsehai Kwenye hili taifa mzalendo alikuwa nyerere kuienda Tanganyika kuliko Musoma๐๐ Mpka leo historia imejifunika lakin mimi nikpata nafasi musoma itakuwa Yurop siwezi kukaa sehmu kinyonge mbwa,Paka,Kunguni Wote wajaa serikali najua mnanielewa๐๐๐
@MariaSTsehai Kwenye hili taifa mzalendo alikuwa nyerere kuipenda Tanganyika kuliko Musoma๐๐ Mpka leo historia imejifunika lakin mimi nikpata nafasi Musoma itakuwa Yurop siwezi kukaa sehmu kinyonge mbwa,Paka,Kunguni Wote watajaa serikalini najua mnanielewa๐๐๐ Siwezi kuwa rahis halafu