@Sativa255 Hii ni kukosa shukrani , sijui kama unaelewa maana ya ukoloni sijui kama unaelewa maumivu ambayo taifa ilipitia wakati wa ukoloni ,, inawezakana kweli kama taifa tunachangamoto zetu ,lakini hauwezi kutoa maneno ya dhihaka Kwa watu waliopigania uhuru wa taifa hili ,
Matoko yak
@godbless_lema Ni sawa na kupanda mbegu nzuri katikati ya magugu bila kuyaondoa , Ili wema uweze kushinda ubaya kwa vitendo, tunahitaji pia mfumo mzuri wa sheria na taasisi unaolinda wema, kuzuia ubaya ,,Nilazima tuwe na sheria inayoweka mipaka dhidi ya kufanya ubaya
@godbless_lema Nakubaliana na hoja yako kwamba njia mojawapo ya kuupinga ubaya ni kuhubiri wema kwa sauti kubwa. Lakini kwa mtazamo wangu, kuhubiri wema pekee hakutoshi. Hii ni kanuni ya kimaadili, lakini jamii haiendeshwi na maadili pekee, ni lazima kuwa na sheria na utaratibu
@PMadeleka Chapati moja inaungua , nyingine paka amelalia ,mpishi anatabasamu as if hakuna tatizo ,, worse thing kavuliwa chupi ,, falsafa ya hii picha ni kwamba akili ikishuka kiunoni wajibu hupoteza maana na kichwa kinabaki kama mfuniko
@Eric__Bernard Nakubaliana na hoja hii lakin pia nakata unapofanya comparison na upinzani ,, katika historia ya nchi yetu upinzani haujawahi kushika Dola , sas ni nani mwingine zaidi ya CCM alipaswa kuleta maendeleo ? Wapeni fursa wapinzan ili tuone kama wao wanaweza kufanya zaidi yenu
@Jambotv_ anayekuja kuendeleza na kutekeleza malengo yaliyowekwa.
Bila mfumo huo, kila uongozi unaweza kuja na vipaumbele vyake, kubadilisha mwelekeo au kuacha mipango ya waliotangulia. Mwisho wa siku, Dira ya Miaka 2050 inaweza kubaki kama jambo la kisiasa tu
@Jambotv_ Dira ya miaka 50 ijayo ni hatua muhimu sana kwa taifa, hasa ikiwa inalenga kujenga uchumi shirikishi na wa pamoja. Lakini ili dira hiyo isiishie kuwa waraka mzuri kwenye makaratasi, ni lazima iwe na benchmark za kisheria na mifumo ya uwajibikaji itakayolazimisha kila kiongozi
#TajiriLaKihaya
Sisi kama Chama cha DEMOKRASIA na MAENDELEOโฆ. Tumeshatoa Msimamo wetu kuhusu hili swalaโฆ
Sasa ni wewe kutuamini au uamini wanaharakati Uchwaraโ๏ธ
@godbless_lema uamuzi huu wa @godbless_lema mm nauhesabu kama kete na ushidi kwa wafuasi wote wa Chadema na wapenda haki , ushidi zidi ya harakati za uchonganishi , ushindi zidi ya watesi wetu , ushindi zidi ya ujinga , hongera sana mwh naomba ziara ya kanda ya Kati tupate ratiba mapema
@godbless_lema Hyo press kama utaenda kuzungumza mambo sativa ,mange na maria niseme tu miaka Yako 20 kwenye siasa haijakusaidia kitu , najua Kuna wakati sis ni binadamu tuna hisia ya hasira mtununaweza kughafilika nyinyi ni watu wazima ongeeni