#Consultant_ PR & Communication| Strategic Planning| Project Management & Evaluation
'Lets change what it is, Into what should be' #Advocacy#Policy#Practice
Jacquiline Ikwabe, Mkuu wa Biashara ya MPesa akiongea wakati wa mjadala wa kigoda cha mmasai uliofanyika katika wilaya ya Longido, Vodacom Tanzania Foundation imeshirikiana na LSF kuaandaa mjadala huo kwa lengo la kusikia sauti za wananchi ili kuwafikia wananchi hasa wa pembezoni kupitia huduma za kifedha na za kijamii
#WikiYaAzaki2024
Mkurugenzi Mtendaji wa LSF Bi Lulu Ng'wanakilala akiteta jambo na wadau Azaki waliotembelea mradi wa Wanawake Tunaweza unaotekelezwa katika Wilaya ya Longido na kusikiliza kutoka kwa wananchi juu ya maoni yao mbalimbali ikiwemo ushiriki wa wanawake wa jamii ya kimaasai katika shughuli za kiuchumi na nafasi za maamuzi na uongozi
#CSOWeek2024 #VoiceVisionValue
Video fupi inayoonesha Jamii Kimasai pamoja na wadau wa Azaki wakishiriki kwenye majadiliano ya "Kigoda cha Mwanamke wa Kimasai" kilichofanyika katika jamii hiyo katika wilaya ya Longido kwenye wiki ya Azaki. LSF kwa kushirikiana na @vodacomtzfound walifanikisha kigoda hicho ambacho kilijadili nafasi ya wanawake katika uongozi na maamuzi kuelekea Tanzania ya 2050, sambamba na changamoto wanazokutana nazo.
#CSOWeek2024
#VoiceVisionValue
#KigodaChaMwanamke
#Tanzania2050
Katika Wiki ya Azaki ya Mwaka 2024 wadau wa Azaki walitembelea katika shule ya msingi Namanga ambayo LSF kwa kushirikiana na North and South Cooperation wanatekeleza mradi wa Wanawake Tunaweza ulioweza kuwajengea Bweni jipya la kisasa Wanafunzi wa kike 120 na kuondoa Uhaba wa Malazi kwa Watoto wakike shuleni hapo ambao idadi yao ni zaidi ya Watoto 800.
#WikiYaAzaki2024
Katika kuwahakikisha uendelevu wa mashirika yasiyoya kiserikali ni muhimu kuboresha mifumo, kushirikisha jamii katika kutatua changamoto zao, kuhakikisha dhana ya kujitolea kwa mashirika yasiyo ya kiserikali na kuhakikisha upatikanaji wa rasilimali kutoka kwa jamii na Serikali. Mkurugenzi Mkuu wa LSF Bi Lulu Ng'wanakilala akiongea wakati wa mjadala rasilimali za dhani katika kuwezesha haki kwa jamii
#WikiYaAzaki2024
"Pamoja na mafanikio ya katiba mpya,bado wananchi wa Ghana toka 2010 wamekuwa wakidai mabadiliko mengine tena, wakisukumwa na mabadiliko makubwa ya kiuchumi na hitaji la kuwa na utawala shirikishi usiojirudia wa familia fulani fulani"
Ananilea Nkya, JUKATA
#WikiYaAzaki2024
#CSOWeek2024
#SautiMaonoThamani
#CSOWeek2024 is around the corner, and we're proud to announce Catholic Relief Services (CRS) as a Steering Committee Member.
Join us from September 9-13, 2024, at the Mount Meru Hotel in Arusha, Tanzania, for powerful discussions on #VoiceVisionValue
>> https://t.co/7W5iGK8znn
#CSOWeek2024
Theme: Voice, Vision, Value
Date: 9th to 13 September 2024
Venue: Mt Meru Hotel, Arusha
Main Partner: @vodacomtzfound
Register via https://t.co/7ED1tyVJdN
🌟 #CSOWeek2024 is all about amplifying voices, & delivering real value. We share a common responsibility towards our country's development, we need to use our voices to speak up, listen, to share, to foresight & explore ways that can bring about real & positive value by achieving a shared vision for our country's future in 2050.
📢To register for the #CSOWeek2024 >>https://t.co/pYvDQTt6ND
"Democracy unfortunatel is a product of decolonisation. Thus, the first important thing to do is colonise the mind". ~ Advocate @advocate_bwire#CSOWeek2023
Get ready for an empowering session tomorrow at #CSOWeek2023! We're diving into 'Accelerating Financial Resilience for CSOs: The role of Technology.' Let's explore how tech is reshaping financial strategies for sustainable impact. Don't miss out! #TechXSociety
Catch the thrilling highlights of Day 1 at #CSOWeek2023!
Dive into the engaging discussions that marked the beginning of this insightful week. Watch the video for an exclusive glimpse into the impactful conversations and moments that unfolded! #TechXSociety
The technology landscape is not evolving anymore, it's exploding. How can CSOs responsibly leverage technology to effect changes in societies they serve?
Princely Glorious, Ona Stories
@Tango_tanzania@FCSTZ#CSOWeek2023#TechXSociety
"Kuna tofauti kati ya upatikanaji wa mtandao na utumiaji wa mtandao.
Tunaweza kusambaza mtandao maeneo yote lakini watumiaji wasiweze kutumia ipasavyo" - @Zuw508, @VodacomTanzania.
#CSOweek2023