Nini kimejificha kwenye mabadiliko ya mswaada wa sheria ya usalama wa Taifa 2023?
Watanzania wenzangu salaam,leo nawaandikia kuhusu mswaada uliopelekwa bungeni kuhusu kubadilisha sheria ya usalama wa Taifa kifupi ni hatari kwa mstakabali wa Taifa na Watanzania wote watawala,