DODOMA: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kumtafuta na kumhoji Mtu aliyeandika kwenye Mitandao ya Kijamii kuwa "Siku za Kitima zinahesabika"
Mtu huyo anayetambulika kwa jina la Dr. Frey Edward Cosseny akitumia Akaunti yake ya Mtandao wa X, Aprili 28, aliandika βMwambieni Kitima iko Siku ataingia kwenye 18 hatokaa asahau Tanzania, Muacheni ajifanye Mwanasiasa. Mfikishieni meseji Siku si nyingi atapata anachokitafuta Dawa yake iko jikoni atakuja kuozea jela.β
Aprili 30, 2025, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima akashambuliwa na kujeruhiwa na Watu wasiojulikana akiwa Makao Mkuu ya TEC, Mei 1, 2025 Jeshi la Polisi likatangaza kumshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio hilo
Soma https://t.co/ScX9CTl7CZ
#JamiiForums #Accountability #HumanRights #Governance #Uwajibikaji
Makato nafuu ya @AzamPesa ni ajabu na kweli.
Kujisajili ni rahisi, pakua App fata maelekezo ukiwa na namba yako ya NIDA.
Pakua hapa: https://t.co/GxL3gRgSNu