@Mzeewajambia Wewe ni ovyo matokeo ya msimu mmoja sio sababu ya kusema huyu kaisha Kuna wachezaji hata ulaya akiwemo Karim Benzema aliwahi kucheza misimu mwili bila mafanikio lakini baadae akaja kuwa moto
@Adventure_36 Kama hayo unayosema ni Sahihi sasa mbona huko alikokuwa ameshindwa kuyafanya hayo mpaka kutolewa kwa mkopo na timu yake na baadae kumvunji mkataba wake
@Aduiwayanga Kutoa huko unakosema kunatakiwa kuweje kumbuka kama msaani huwezi muda wote kuwa on top Kuna wakati unashuka au kupanda baadhi ya wasaani uliowataja wengi wameshakuwa kwenye peak ya juu kimuziki ingawaje wameshuka
@Mr__Bombas_tic@bajabiri@kalage_jr Nitakuelekeza kama hapa utaona njia aliyotumia kijana kwa mwekezaji mo dewij iko Sahihi kama utaona hivyo niandkie inbox jinsi ya kuomba kuandikiwa namna ya kuomba mkopo kwa taasisi au mtu binafsi
Ijue Generative AI technologia mpya ya Artifical Intellegence
Inayoweza kutengeneza maudhui (Content) kama maandishi (content), picha, na mziki (Music) na maudhui mengine
Inaweza kutengeneza content mpya kabisa kutokana na maelekezo (Prompt) unayoiwekea
Thread ๐๐๐
@anuskills3 Mimi naona tatizo ni kwanini ukague simu ya mtu hilo ni kosa kisheria kuingilia privacy ya mtu simu ya mtu ni yake. Jijengee tabia ya kutokagua simu tena